Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Hahaha...England kaua watu tiari kwenye cricket, walizoea kupiga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nifuateni mimi jamani leo
Fiorentina win
Arsenal win
Weka 5000/=
Payout 45,000/=
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Kweli umeamua kujilipua mkuu;
Kama unataka kupiga hela ya mhindi leo fanya hivi;
Juve-win
Man U-draw
Lazio-win
CORDOBA-win
Halafu tupia hiyo elfu TANO upige 178,000/= if not mistaken,,,,!!!!
View attachment 233271
Bado mbil tu Mexco na England dua zenu wadau
Kila la kheri mkuu..
Wadau leo mi naona kama Wenger anakufa ivi.
Wenger anakufa leoWenger anashinda Leo mi nshawapa tayar

Jamani mie ni mshabiki wa Arsenal Leo nimeshindwa kabisa kujizuia acha kama buku tano iende basi iende yani nimejaribu kuiacha hiyo game kubet lakini moyo umekataa.
Oooooh Arsenal pliz sikia kilio changu hivi kama mambo ya nyie wachezaji kubet muache kabisa mnatuua huku waafrika. Unakuta michezaji inabet Halftime draw ili ipige na
yenyewe hela yani acha tu.
Mfano Christiano huwa anajiwekea kabisa mzigo wake wa goli
View attachment 233312
Liver,Celtic manina zenu but nimejitakia mlituonya kuhusu kurudia timu
Wadau ucku mwema me leo nalala na maumivu tu yan hii biashara kwakwel n kutafuta ugonjwa wa moyo na vidonda vya tumbo,Mikeka mi3 yote nmeuliwa na timu moja moja tu Jong psv Mexco wanawake na juve kla mmoja hapo kachana wake kulkuwa na 275000 kwa yote lkn nmetoka patupu.leo nayo cku