Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu nipeni utaratibu nataka kuanza ku bet kwa simu matumia line ya Voda
 
real madrid na liverpool wajinga sana! menikosesha kutafuna laki 2. nikapigwa 30000tsh.
 
Shy land nipe msaada kubet meridian kwanjia ya online mkuu!!!!
 
Nifuateni mimi jamani leo
Fiorentina win
Arsenal win
Weka 5000/=
Payout 45,000/=

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kweli umeamua kujilipua mkuu;
Kama unataka kupiga hela ya mhindi leo fanya hivi;
Juve-win
Man U-draw
Lazio-win
CORDOBA-win

Halafu tupia hiyo elfu TANO upige 178,000/= if not mistaken,,,,!!!!
 
Hii kama pesa vle
 
Jamani mie ni mshabiki wa Arsenal Leo nimeshindwa kabisa kujizuia acha kama buku tano iende basi iende yani nimejaribu kuiacha hiyo game kubet lakini moyo umekataa.

Oooooh Arsenal pliz sikia kilio changu hivi kama mambo ya nyie wachezaji kubet muache kabisa mnatuua huku waafrika. Unakuta michezaji inabet Halftime draw ili ipige na
yenyewe hela yani acha tu.

Mfano Christiano huwa anajiwekea kabisa mzigo wake wa goli
WIN HALF.JPG
 
View attachment 233312

Kabisaaa hii michezaji haifaiii naona kidogo mkeka bado unapumua
 
Liver,Celtic manina zenu but nimejitakia mlituonya kuhusu kurudia timu

Bwan ucrudie tim kweny mikek yko hat kma unamuamini 100%huu ni mpira wa miguu co riadha utkua kwnye chat kw muda kma Bolt au bondia kma cheka,myweather
 
Wadau ucku mwema me leo nalala na maumivu tu yan hii biashara kwakwel n kutafuta ugonjwa wa moyo na vidonda vya tumbo,Mikeka mi3 yote nmeuliwa na timu moja moja tu Jong psv Mexco wanawake na juve kla mmoja hapo kachana wake kulkuwa na 275000 kwa yote lkn nmetoka patupu.leo nayo cku
 
Noma sana, mie mwenyewe Man U kanichania mikeka yote, vipi leo mkuu? Tuwekee hapa watu tujilipue.
 
Back
Top Bottom