Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Oya wakuu mwenyewe odds za uhakika uweka code basi naanza mm

Girona

Leverkusen

Let's go..
 
Matokeo 11-1-24

1. Cavs Winner (NBA)✅

2.Thunder/Portland over 235 (NBA)❌️

3. Oilers/Redwings over 6.5 (NHL)❌️

4. Devils/Lightning over 6 (NHL)✅️

5. Kings/Panthers under 6.5 (NHL)✅️

6. Flames/Coyotes over 6 (NHL)✅️

7. Tulane/FAU over 161 (NCAAB)✅️

8. Illinois/Michigan St over 149 (NCAAB)❌️


WIN: Tsh. 5,000 (1.2 unit)
----------------------------------------

Bang! Cashout 🤝💰

Ushindi kama kawaida! Telegram BahatiBillionaire Screenshot_20240112_035429_SportyBet.jpg
 
kaka hivi zile bilions ulizosemaga mwaka jana ulikula kweli?? Mana mi nilikuwa u.s.a nimerud jana, kama shabik yako ningependa kujua hilo,, mana broo nakumbuka ulisema "nisipo kula bilions wiki ijayo sio mimi na sibet tena" sasa mwenzio baada ya kusema vile siku ya pili nikapigiwa simu ya kikazi huko, manchester kwahy naomb majibu
Ulikuwa U.S.A kwenye jiji la Manchester, 😲😲😲
 
We kweli hamnazo,yaani akili zako kwenye Maisha umezi turn kwenye Ushirikina tuu? Au Utapeli mtandaoni,maana kila comments zako napost ni ushirikina tuuuu,sio akili hiyo,Fanyakazi,jitume sio hizo akili mgando

Hivi unaona kila anaebet ananjaa kama wewe?
Umejiunga JF 2021 which means bado Mwali,wenzio tumo humu JF kitammboo kwenye Majukwaa ya Biashara before hatujaingia kwenye Hii Forum na tulimiliki Smart phones na computers wewe ukiwa bado unavaa uniform

Watu Tuliishajipata kitamboo,tumejenga,Tunabiashara zetu na Watoto Wanasoma kwa viwango.
Tumejipanga kimaisha since betting platforms hazijasambaa.

Yaani wewe akili Yako umeiset humu ndio pa kutobolea Maisha,Angalia umri wako Dogo,acha ujuaji,jipange kabla maji ya Jioni hayajafika ukaanza kulaumu kila mtu

Huku watu Wana bet mpaka milioni kwa siku,na ikiliwa mtu wala hawazi maana watu Wana other sources of income

Yumo mtu anaitwa Matee humu yeye mkeka mmoja kutia laki mbili wala hawazi na siku anaweka mikeka zaidi ya mitatu na ikichanika ndio kwaanza kesho anatupia mwingine

Acha mipasho Njoo Chanika muda huu wa Off Day,au over weekend ila not from Monday
Shuka Kituo cha Magenge mwambie Boda akulete kwenye Bar ya IGP SIRO utanikuta,mita 400 mbele ya hiyo Bar

Tunaongeza miji naTunaandalia watoto Maisha yao
Fanyakazi kwa bidii, jipange,Acha Ushirikina au kutaka kutapeli watu kimtindo kwa Imani za Utapeli wa kishirikiana kupitia this Forum,hamna mazuzu humu

View attachment 2869518
Nakazia! . Huyu bwanamdogo tangu awe na uhakika wa kula kwa shemeji yake analeta ujuaji na kutukana wakubwa zake.
 
Hapana kaka oddz 3.60 hapana nakataa kuna wahuni Wana fanya sana sema gamble's hatunaga ushirkiano
yalishaundwa magroup watu tulishashirikiana sana kwa kila mbinu, lakini wapi!!, zinawin siku 2 mfululizo siku ya 3 chali. hapo ni odds 2 siyo 3. odds 3 parefu.

kama rollover cheza siku 2 au 3, siyo masiku meeengii
 
Betpawa wahuni wameniruhusu cheza hiyo shilingi 20.34 mara moja tu, inakuja 97m. Narudia wananikatalia.
Mkuu naomba kuuliza stake ya 20.34 baadhi ya timu zikitoa wanaweza kukupa cash out?na je cash out ni kuanzia timu ngapi zikitoa?na maximum unaweza kupata cash out ya sh.ngapi kama timu baadhi zikitoa?
 
Matokeo 11-1-24

1. Cavs Winner (NBA)✅

2.Thunder/Portland over 235 (NBA)❌️

3. Oilers/Redwings over 6.5 (NHL)❌️

4. Devils/Lightning over 6 (NHL)✅️

5. Kings/Panthers under 6.5 (NHL)✅️

6. Flames/Coyotes over 6 (NHL)✅️

7. Tulane/FAU over 161 (NCAAB)✅️

8. Illinois/Michigan St over 149 (NCAAB)❌️


WIN: Tsh. 5,000 (1.2 unit)
----------------------------------------

Bang! Cashout 🤝💰

Ushindi kama kawaida! Telegram BahatiBillionaireView attachment 2869699
Unaweka 8000 unapata 5000 inapoteza 3000 uhu uhu uhu uhu uhuru na umoja waliotaka hapo ni wajinga tu walikatwa mikono yote
 
yalishaundwa magroup watu tulishashirikiana sana kwa kila mbinu, lakini wapi!!, zinawin siku 2 mfululizo siku ya 3 chali. hapo ni odds 2 siyo 3. odds 3 parefu.

kama rollover cheza siku 2 au 3, siyo masiku meeengii
Shida ni tunakosa experience tu michezo ipo ming ila ss n football na basketball tu ndio maana
 
Back
Top Bottom