Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu Ushari Kabla ya Saa Nne PSV nimemuamini Apate Goal 2 Kipindi Cha Kwanza, Vipi Nimtoe au nimuache? Ana Odds 1.84
IMG_5709.jpg
 
FLEX na ONE CUT:-
USHAURI
Kama ni upepo kwangu au ni kuogopa high stakes kwa baadhi ya wadau

Ninekuwa nikibet mikeka Mingi tu mseto,ila Special kwangu with high Stake na budget yangu kubwa ni kwenye Kuflex na One Cut options
Nimekuwa nikitumia hii kipindi kirefu mnoo,

Hii option inataka high stakes but inatoa mnooo kwa Mechi Chache
Hapa muda tu Burgos amezingua ila niweka one Cut na ikawa imetiki..

Ili uone Faida yake make a capital ya kuanzia laki 300,000 au mbili then split it up kwenye games.

Ukiliwa unaliwa kweli,ut kurejesha mtaji inakuwa na less risk.

Mie naanzia mostly 30,000 to 50,000
Muhim utulivu tu,na Raha yake ukiflex au one cut hakuna Cashout.
Although winning margin yake ni ndogo ila if in high stakes basi unaambulia kitu.
Muhim ni Capital tu.

Jaribuni
 
Back
Top Bottom