chakula cha watoto
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 539
- 1,507
Total odds zilikuwa ngpView attachment 2871313 code hii hapo ka mkeka ka asubuhi ya leo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Total odds zilikuwa ngpView attachment 2871313 code hii hapo ka mkeka ka asubuhi ya leo..
Unyamanazaa nayo hiii mkuu
Mie siamini prediction site yoyote hao nao ni mawakala wa kanji wanakuchanganyia na uchambuzi feki ili uliwe! Sasa Japan kwa form yake aliyonayo ni ya kushinda 1-0 kwa hayo wavetinam kama sio kutuibia tu tushindwe kuweka over 1.5 wakati ni uhakika! Narudia najiamini mimi tu kwenye Kubet yani siamini code wala ubashiri wa mtu yoyote yule! Ila wakiweka code nachukua Naweka sababu kuna mda unachoka kuchambua au upepo unakuwa sio mzuri inabidi tubahatishe na code za wengine ila sio kama naamini kama ntakula ndo mana hata zichane mechi zote safi tu siwezi lalamika naujua ugumu wa kuchambua mechi zaidi ya 500 usiku kucha! Watu wanaoweka code waheshimiwe unless wale wanaobofya bofya Tu na kutuwekea hapaDu! Hizi prediction hizi:
View attachment 2871264
It's true tusianze katishana tamaa Kwa wanaotuma code, Mimi betting naijua kuwa hii ni ngumu hii ni nafuuUmenena vema mkuu. Asa mtu akidhani mtu ni wakala wa Kanji afu akajichomeka mwenyewe anamlaumu nani si ajilaumu mwenyewe? Mtu unaona kabisa hii ni SUMU lakini unainywa, what do you expect?
Akili za kuambiwa, changanya na za kwako🤣🤣🤣🤣It's true tusianze katishana tamaa Kwa wanaotuma code, Mimi betting naijua kuwa hii ni ngumu hii ni nafuu
Sidhani ukipata code unaweka yote directly..lazima utathimini uone kama Na WW unaweza kuniweka..
Hapa lazima utumie slogan YA Rais JK kuwa akili YA mwenzako changanya Na yako
Kanji anatuogopesh mda mwingineGG ya lazio ina odds 2.20! Sitaki kuamini kama hii haitatoa GG ila naona kabisa lazio hatoboi kwa Lecce!
Noma APA Lyon tu ndo namkwepaHii code ukitumia akili kuichakata... Inakupa pesa!
Danger!... [emoji779][emoji725]
Enter with caution..! 12 Straight win games
59C676B
Odds 911...! Weka Buku Ule milioni! Ajax, Girona, Bologna,Villa, Lyon, Trabzonspor, Parma, Fiorentina, Fanabahce, Benfica, Olympiacos, Paok. Uoga wako!... Umasikini wako
Ruksa kuedit!!!
View attachment 2871365
Ushauri mzuriUnampangia Mwanaume mwenzio kiasi cha pesa ya KuBET?
Unamsaidia kuitafuta hiyo pesa?
Naomba to share Codes na Comments ila sio kushare Umaskini
Kila mtu apambane kivyake
Wewe ukiona mpaka mtu kaweka mkeka wa 300,000 ujue anajitanvua na kaishajipata,anajua hata ikiliwa within a week anaipata ktk Kazi zake
Wapo watu wao betting ni once a week,yaani anamtenga wiki mara Moja pesa ndefu ya Stake.
Ukiangalia wale wa Betting on daily basis yaani kila siku ni wastage of time for other duties na concentration ya masuala mengine ya Kazi inadorora.
We unapambana na 200 Ule milioni Mechi 20 mwenzio anawaza aweke laki Moja au Tatu Mechi nne tu au Tano unafikiria mpo Sawa?
Na wengi wenye stake kubwa wakiweka mkeka anaangalia siku ya MWISHO, sasa sie wa bukubuku kila Saa mtu anawasha sim,yaani kutwa nzima mtu yupo busy na mkeka huku wale wa High Stakes wao pressure ndogooo maana wingi wa Mechi ndio possibility ya kupata maradhi ya Moyo ipo high but wake stake kubwa kwao kawaida mnooo.
Sasa ukiwa na vipesa vya kudanganyana sijui kuna jamaa alikula milioni 50 kwa mia mbili then unataka wote wawe hivyo basi Pambana kivyako.
Usimpangie mtu pesa hujui anavyoitafuta,Na ukiona upo maskani kitaa na washkaji Betting zao hazizidi Buku 5 wao ni miamviki saana Buku mbili basi hamaaaa,jichanfanye na wake wenye ku stake high utajifunza mengi mnooo
Jiulize kwanini wenye ku stake kuanzia 20,000 mpaka laki 5 huwasikii kuongekea sijui jamaa alikula milioni 200 kwa Buku?
Ila kaa na wake wa mia mbili na Buku mbili,aisee wabamindoto mikubwaaaa
Badilika Mdau ,mheshim mnoo anae stake high.Ujue ameishajipata huyo
Humu watu Wana ku Dm mtu anaomba hadi 500 umtumie abet kisa etoli leo mechi zipo za utajiri.
Ukimtumia anaweka 200 kila mkeka Ili apate milioni 5, aiseee
Mkuu naona wewe sasa unaanza kutupangia stake ya kuweka na namna ya kubet. Mtu akiamua kuweka 200 kwa timu 60 ni maamuzi yake binafsi. Aheshimiwe. Usimpangie mkuu.Unampangia Mwanaume mwenzio kiasi cha pesa ya KuBET?
Unamsaidia kuitafuta hiyo pesa?
Naomba to share Codes na Comments ila sio kushare Umaskini
Kila mtu apambane kivyake
Wewe ukiona mpaka mtu kaweka mkeka wa 300,000 ujue anajitanvua na kaishajipata,anajua hata ikiliwa within a week anaipata ktk Kazi zake
Wapo watu wao betting ni once a week,yaani anamtenga wiki mara Moja pesa ndefu ya Stake.
Ukiangalia wale wa Betting on daily basis yaani kila siku ni wastage of time for other duties na concentration ya masuala mengine ya Kazi inadorora.
We unapambana na 200 Ule milioni Mechi 20 mwenzio anawaza aweke laki Moja au Tatu Mechi nne tu au Tano unafikiria mpo Sawa?
Na wengi wenye stake kubwa wakiweka mkeka anaangalia siku ya MWISHO, sasa sie wa bukubuku kila Saa mtu anawasha sim,yaani kutwa nzima mtu yupo busy na mkeka huku wale wa High Stakes wao pressure ndogooo maana wingi wa Mechi ndio possibility ya kupata maradhi ya Moyo ipo high but wake stake kubwa kwao kawaida mnooo.
Sasa ukiwa na vipesa vya kudanganyana sijui kuna jamaa alikula milioni 50 kwa mia mbili then unataka wote wawe hivyo basi Pambana kivyako.
Usimpangie mtu pesa hujui anavyoitafuta,Na ukiona upo maskani kitaa na washkaji Betting zao hazizidi Buku 5 wao ni miamviki saana Buku mbili basi hamaaaa,jichanfanye na wake wenye ku stake high utajifunza mengi mnooo
Jiulize kwanini wenye ku stake kuanzia 20,000 mpaka laki 5 huwasikii kuongekea sijui jamaa alikula milioni 200 kwa Buku?
Ila kaa na wake wa mia mbili na Buku mbili,aisee wabamindoto mikubwaaaa
Badilika Mdau ,mheshim mnoo anae stake high.Ujue ameishajipata huyo
Humu watu Wana ku Dm mtu anaomba hadi 500 umtumie abet kisa etoli leo mechi zipo za utajiri.
Ukimtumia anaweka 200 kila mkeka Ili apate milioni 5, aiseee
Bibie tunaomba code ktk mikeka yako unayotuma yaani ukianza kutafuta timu moja moja hapo ni Masaa Utatumia na wakati mwingine Kama utakosea huioati
Mkuu wala haina haja ya kusema code umeitoa humu. Hongera sana ni vizuri kutuma won bets ili watu wajue kuna kushinda.Wakuu atimaye mtaji wa 200 umetosha kumliza kanjii bayiii code nimechukua humuu nkachambua chambua nkajaribu bahat .View attachment 2871062
Hahahhaha huyu sio wakala sema ni anabonyeza bonyeza tu kwa kuangalia odds za bookies.Huyu afisaubashirimwandamizi tuwe nae makini sana anafanya kazi betPawa ni wakala wa kanjibai ndio maana mikeka yake yote ni lost tupuuu
Kuna member mmoja humu nimetoka kumkanda, eti ananishangaa kuweka laki Tatu kama anajua kipato changu vile, hajui mm kila siku natafuta odd mbili tuu natia mpaka laki tano Sasa anafikili wote wakuweka buku timu hamsini ili tule million mia, uliza humu kama Kuna bwege yoyote amewahi kula million ishirini?Unampangia Mwanaume mwenzio kiasi cha pesa ya KuBET?