chakula cha watoto
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 539
- 1,507
Hajui kubeti hata mm nimeonaHahahhaha huyu sio wakala sema ni anabonyeza bonyeza tu kwa kuangalia odds za bookies.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajui kubeti hata mm nimeonaHahahhaha huyu sio wakala sema ni anabonyeza bonyeza tu kwa kuangalia odds za bookies.
Mawakala wapo.Kama huna code zinazotoa humu bora usipost tu mnatuingiza loss tu wengine tumepoteza zaidi la million moja January hii na hatujui inarudi lini, kama ni mawakala wa Kanji nawaroga walah haiwezekani code zote ziwe zinachana acha uhuni
Pia yupo kule kwa Twitter.Muwe Makin na huyu jamaa ni nyoka!
Kwa hiyo wafanyakazi wa makampuni ya kubet wanajua matokeo ya mechi kabla hazijachezwa? Ajabu hii. Ingekuwa hivyo wangekutafuta wewe wakupe matokeo u-bet kwa jina lako mpate 300Mil mgawane.Unafikiri ni kwann huwa hawaruhusiwi kubet wachezaji na wafanyakazi wa makampuni ya kubet??
Kwanini mkuu wawe makini na mimi?Muwe Makin na huyu jamaa ni nyoka!
Duu sawa bac...me betpawa Bora nimskie tu mpaka vitu vibadilike...Niliivisit hiyo site, ila font, upangaji wa mechi na visibility ya bp naona ni bora zaidi. Hususani ukiwa unatumia simu kuvisit web yao.
Sio kwamba wanajua matokeo ila wafanya kazi ni rahisi kujua system ya kampuni na kufanya hacking tofauti na watu wa nje.Kwa hiyo wafanyakazi wa makampuni ya kubet wanajua matokeo ya mechi kabla hazijachezwa? Ajabu hii. Ingekuwa hivyo wangekutafuta wewe wakupe matokeo u-bet kwa jina lako mpate 300Mil mgawane.
Kwa taarifa yako hata huyo mhindi mwenyewe akitengeneza mkeka wake unachanika vibaya.
Aahahaahaahahahaha unajuabukibet kwa ku songesha , Mtu anabet kwa makini sanaa , All in All kila kheriAc millan win
Egypt win
Ghana win
Nimesongesha 10000 kudadek mungu nisaidie
Bora kk turud m bet ni ngumu ku edit match maana ipo option ya kudownload mkeka ila sportbet ni noma kwa kuedit mikeka.
😂😂😂😂 mtake radhi afisa wetu ye anakwambia amebobea kwenye ligi 8 kubwa dunian! Na anampango wa kumpiga kanji bilion 20 hahaha! Sema afisa anatuma sana code nafikiri sasa angepumzika kuvuta upepo labda upepo umekataaLeo nimegundua huyu @lAfisaUbashiriMwandamizi ni mweupe tupu kwenye kubet, huwa anabonyeza tuu mamikeka yake yote ya asubuhi yapo settled saizi hakuna hata moja linapumua jinga sana wewe tapeli mkubwa
Mods pigeni ban hili limeingia humu kukomba pesa zetu shenz type [emoji57]
Upepo hujakata, zile daily codes ambazo zinavuka odds elfu 10 huwa ni kwa ajili ya wanaostake maximum elfu moja. Ndiyo maana huwa siyo codes za kimkakati kabisa, just for fun.😂😂😂😂 mtake radhi afisa wetu ye anakwambia amebobea kwenye ligi 8 kubwa dunian! Na anampango wa kumpiga kanji bilion 20 hahaha! Sema afisa anatuma sana code nafikiri sasa angepumzika kuvuta upepo labda upepo umekataa
[emoji95] hii inatoa amini [emoji4]Ac millan win
Egypt win
Ghana win
Nimesongesha 10000 kudadek mungu nisaidie