Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kama huna code zinazotoa humu bora usipost tu mnatuingiza loss tu wengine tumepoteza zaidi la million moja January hii na hatujui inarudi lini, kama ni mawakala wa Kanji nawaroga walah haiwezekani code zote ziwe zinachana acha uhuni
Mawakala wapo.
Tumia codes za humu kama zilivyo au edit.
Pia jipe utamaduni wa kujitengenezea mwenyewe.
 
Hapo nani atoke wakuu?
Screenshot_20240114-151313.jpg
 
Unafikiri ni kwann huwa hawaruhusiwi kubet wachezaji na wafanyakazi wa makampuni ya kubet??
Kwa hiyo wafanyakazi wa makampuni ya kubet wanajua matokeo ya mechi kabla hazijachezwa? Ajabu hii. Ingekuwa hivyo wangekutafuta wewe wakupe matokeo u-bet kwa jina lako mpate 300Mil mgawane.

Kwa taarifa yako hata huyo mhindi mwenyewe akitengeneza mkeka wake unachanika vibaya.
 
Sio kwamba wanajua matokeo ila wafanya kazi ni rahisi kujua system ya kampuni na kufanya hacking tofauti na watu wa nje.
 
CASINO = Cash In No Out

Tuendelee kupambana , na ukitaka kula hela nyingi usibeti kwenye App maana ku change ni faster , Niliibiwa Kampuni 2 tofauti kwa kubadilisha Mechi , haswaa ambazo sio Maarufu na wewe ahauwez kuwapeleka Popote.
 
Leo nimegundua huyu @lAfisaUbashiriMwandamizi ni mweupe tupu kwenye kubet, huwa anabonyeza tuu mamikeka yake yote ya asubuhi yapo settled saizi hakuna hata moja linapumua jinga sana wewe tapeli mkubwa

Mods pigeni ban hili limeingia humu kukomba pesa zetu shenz type [emoji57]
😂😂😂😂 mtake radhi afisa wetu ye anakwambia amebobea kwenye ligi 8 kubwa dunian! Na anampango wa kumpiga kanji bilion 20 hahaha! Sema afisa anatuma sana code nafikiri sasa angepumzika kuvuta upepo labda upepo umekataa
 
Upepo hujakata, zile daily codes ambazo zinavuka odds elfu 10 huwa ni kwa ajili ya wanaostake maximum elfu moja. Ndiyo maana huwa siyo codes za kimkakati kabisa, just for fun.
Sasa kumbe wengine wanastake high.
Ni kutokuwa na uelewa wa pattern ya bets.
 
Back
Top Bottom