ZagaZagarino
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 431
- 589
Girona ana majamvi Yangu yoote Matatu , ameanza kubadilika anyway ngoja tusubiri kipindi cha pili Amechangamka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo ndo unaanza kumlaumu shetaniiiGirona ana majamvi Yangu yoote Matatu , ameanza kubadilika anyway ngoja tusubiri kipindi cha pili Amechangamka.
Hatari sanagirona anasepa na kijiji😂😂😂...་kivumbi sana watu wangu........mimi sijamuweka kabisa kwenye mikeka yangu ya kimkakati
Sio rahisi kutoboa amekamatwa kila sehemu halafu ana red cardGirona girona girona nimekuita mara tatu
Mechi gani hii?GOOOOOOOOLLLLLLL[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Angalia ID yake kwanzaMechi gani hii?
Halafu hii inakuwaje?? Jana Leicester alipewa odds nyingi pamoja na kuwa katika fom akala umeme akapigwa na leo Girona alipewa odds nyingi akala umeme pia.....hapa kuna kituSio rahisi kutoboa amekamatwa kila sehemu halafu ana red card