Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dharau
Dharau
Dharau

Dharau ni kitu kibaya sana, kuna website nilipita nikakuta tabiri za mechi zimeweke karibia na kila ligi kama ifuatvyo;
Almeria vs Girona
Girona W/D

Everton vs Aston Villa
Aston Villa W/D

Nigeria vs Guinea
Guinea W/D

Sasa nilivyojifanya mjuaji nikaweka mkeka hivi
Girona over 1.5
Aston Villa over 0.5
Nigeria over 0.5

Mkeka mwingine nikaweka
Girona W
Aston Villa W
Nigeria W kisha uwepo wa Victor O na wapaka powder wenzake
haya sasa kula dharau zako 😂
 
tia mzigo kwa spurs ashide live bet kuna odds 3.25 , hii game united anapoteza
 
Back
Top Bottom