ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Ukishinda Leo, Wewe ni Mjanja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Website gan hyo mzee babaDharau
Dharau
Dharau
Dharau ni kitu kibaya sana, kuna website nilipita nikakuta tabiri za mechi zimeweke karibia na kila ligi kama ifuatvyo;
Almeria vs Girona
Girona W/D
Everton vs Aston Villa
Aston Villa W/D
Nigeria vs Guinea
Guinea W/D
Sasa nilivyojifanya mjuaji nikaweka mkeka hivi
Girona over 1.5
Aston Villa over 0.5
Nigeria over 0.5
Mkeka mwingine nikaweka
Girona W
Aston Villa W
Nigeria W kisha uwepo wa Victor O na wapaka powder wenzake
Boooooooooom[emoji4]
Booooooooooom[emoji4]
Yes Sana mkuu,tena Sana.Ndo hivyo ameanguka,trh 18.01.2024 mwili utaingia Dar kutokea Japan,alikuwa anakula PhD,r.i.p @z.z.rumishaPumzika kwa amani legendari.
Mkuu MACHONDELA, marehemu alikuwa anapenda kubeti basketi pekee. Huu ni moja ya mkeka alioweka tarehe kama ya leo (14-01-2020).
Najua baada ya hapa utapiga nyeto lala tu mkuu that's bettingAfcon sibet tena
Hahaha ila humu jukwaani kunafurahisha sana ndio maana wengine tumeamua kukaa kimya tu, tunampiga kanji bila kelele kabisa[emoji16]Leo nimegundua huyu @lAfisaUbashiriMwandamizi ni mweupe tupu kwenye kubet, huwa anabonyeza tuu mamikeka yake yote ya asubuhi yapo settled saizi hakuna hata moja linapumua jinga sana wewe tapeli mkubwa
Mods pigeni ban hili limeingia humu kukomba pesa zetu shenz type [emoji57]