Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Halafu hii inakuwaje?? Jana Leicester alipewa odds nyingi pamoja na kuwa katika fom akala umeme akapigwa na leo Girona alipewa odds nyingi akala umeme pia.....hapa kuna kitu
Fixed match..betting ni biashara kubwa dunian...kuna watu wameliwa mabilion leo.
Anyway..kaninyima 125k ila mkeka mwingne kanipa 60k nilimweka 2x.
Ila hii mechi ilikua na kusita sita kabla haijaanza.dah
 
Wapuuzi wengine wameshakula red card na Timu inashika Mkia [emoji2369]
IMG_5717.jpg
 
Dharau
Dharau
Dharau

Dharau ni kitu kibaya sana, kuna website nilipita nikakuta tabiri za mechi zimeweke karibia na kila ligi kama ifuatvyo;
Almeria vs Girona
Girona W/D

Everton vs Aston Villa
Aston Villa W/D

Nigeria vs Guinea
Guinea W/D

Sasa nilivyojifanya mjuaji nikaweka mkeka hivi
Girona over 1.5
Aston Villa over 0.5
Nigeria over 0.5

Mkeka mwingine nikaweka
Girona W
Aston Villa W
Nigeria W kisha uwepo wa Victor O na wapaka powder wenzake
 
Back
Top Bottom