James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
GIRONA😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anayekuchania mkeka hapo ni madridHapo nani atoke wakuu?View attachment 2871461
girona amezingua sana leo performance mbovu kasiba, sitorudia tena kumbeba girona au real sociedad kwenye keka langu wameniumiza sanaanaruka ruka tu kila kitu kazidiwa
Fixed match..betting ni biashara kubwa dunian...kuna watu wameliwa mabilion leo.Halafu hii inakuwaje?? Jana Leicester alipewa odds nyingi pamoja na kuwa katika fom akala umeme akapigwa na leo Girona alipewa odds nyingi akala umeme pia.....hapa kuna kitu
Dah..... aiseeee aiseeee.... maumivu makubwa sana leoGOOOOOOOOLLLLLLL[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Toka jana ilionesha hii wikendi ni mbaya.Leo sio kuliwa helaa hapana HUU NI MSIBAAAA[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]
Pole sana, ila angalizo la real socidad limetolewa humu toka ijumaagirona amezingua sana leo performance mbovu kasiba, sitorudia tena kumbeba girona au real sociedad kwenye keka langu wameniumiza sana
Noma sana mkuu imetoa kama umeweka
Mnaamaanisha nini mnaposema flexible bet na one cut bet wakuu?Nimeifata saa hivi nitakuwa naweka flexible one kwa kweli
Nimewapa Tottenham goli 1 ila kuna website imesema TH wanapiga 3Leo ni mkosi tupu, kama hujastake mechi ya Man Utd bora uache tu.
Inaweza toa 0:0, hii wikendi imevaa bukta.