Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
💥💥 11 odds won ...! 💥Risk takers!...
Penye nyuki... Ndipo penye asali!...
Chaguo ni lako!
BDA381B
View attachment 2874593
Yaani mie nikishaona timu ya Taifa wanasiasa ndo wanakuwa wasemaji wa timu huwa kimoyomoyo najisemea tumekwisha, huwa tunawapa hope wachezaji na wananchi kiasi kwamba watu wanafikiria kuweza kucheza hata na Brazil kumbe hakuna kitumi nawapigia upatu kumbe wameambia wasifunge
hamna kocha kwa kweli
ukiangalia game ya DRC na Zambia Taifa Stars hatuna chetu
Win or draw kwa FiorentinaWakuu Leo vipi kati ya Napoli na Fiorentina nibetije ?
Gg 💯Wakuu Leo vipi kati ya Napoli na Fiorentina nibetije ?
MpwaaupooNdugu maofisa ubashiri nashukuru Mungu kaniona jana. Mambo haya ya WON nimeyesahau kitambo. Mwaka huu tunachakazwa na Kanji vibaya lakini hatukomi. Kazi iendelee!
View attachment 2875212
Nipo najikongoja taratibu mpwa. Upo kimya sana mpwa au vipigo vya Kanji vimekulemea? 😀 😀 😀Mpwaaupoo
Mpwaaa napigwaa kamojamojaa akijisiiia anarudisha mtaji yaan nazidikupambanatufikeNipo najikongoja taratibu mpwa. Upo kimya sana mpwa au vipigo vya Kanji vimekulemea? 😀 😀 😀
Usijichanganye... Napoli anakufa hii game amini!Wakuu Leo vipi kati ya Napoli na Fiorentina nibetije ?
Pamoja sana mpwaMpwaaa napigwaa kamojamojaa akijisiiia anarudisha mtaji yaan nazidikupambanatufike