Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Attachments

  • Screenshot_20240118-062910.png
    Screenshot_20240118-062910.png
    18.3 KB · Views: 7
mi nawapigia upatu kumbe wameambia wasifunge
hamna kocha kwa kweli
ukiangalia game ya DRC na Zambia Taifa Stars hatuna chetu
Yaani mie nikishaona timu ya Taifa wanasiasa ndo wanakuwa wasemaji wa timu huwa kimoyomoyo najisemea tumekwisha, huwa tunawapa hope wachezaji na wananchi kiasi kwamba watu wanafikiria kuweza kucheza hata na Brazil kumbe hakuna kitu
 
Nipo najikongoja taratibu mpwa. Upo kimya sana mpwa au vipigo vya Kanji vimekulemea? 😀 😀 😀
Mpwaaa napigwaa kamojamojaa akijisiiia anarudisha mtaji yaan nazidikupambanatufike
 
Saint George FT x
 

Attachments

  • IMG_20240118_110653_503.jpg
    IMG_20240118_110653_503.jpg
    50.2 KB · Views: 3
Back
Top Bottom