Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wale waliomuua stars mcash out mapema, kikosi kimejaa waluguru, stars leo anatoa hata sare. Mechi ya mwisho dhidi ya DRC ni ngumu sana. Leo ndiyo anatafuta hata point moja.
 
Attachments

  • IMG-20240121-WA0110.jpg
    IMG-20240121-WA0110.jpg
    66.5 KB · Views: 1
Labda odds za direct win ndiyo zilikuwa ndogo. Timu kama B.Munich wengi huipa over 2.5 goals, ndiyo option pendwa zaidi.

Hata 2.5 ilikuwa haikupi Odds za Kumfanya Akae Kwenye Mkeka.

Odds Ambazo zitakufanya uiweke timu kwenye Mkeka ni kuanzia 1.50 [emoji28][emoji28]

Chini ya Hapo Achana nayo
 
Labda odds za direct win ndiyo zilikuwa ndogo. Timu kama B.Munich wengi huipa over 2.5 goals, ndiyo option pendwa zaidi.

Mimi nilimpa Bayern Ashinde Kwenye Bookings

Kwasababu nilijua hii game watakuwa wanatumia Nguvu sana.. na Alikuwa na Odds za 2.50

UD Almeria naye nilimpa Ashinde kwenye Bookings hadi sasa anaongoza kwa 2 yellow cards alikuwa ana Odds za 1.68
 
Hata 2.5 ilikuwa haikupi Odds za Kumfanya Akae Kwenye Mkeka.

Odds Ambazo zitakufanya uiweke timu kwenye Mkeka ni kuanzia 1.50 [emoji28][emoji28]

Chini ya Hapo Achana nayo
Hiyo ni principle yako, wengine odds kuanzia 1.15 wanazicheza zikiwa na 99.99% ya kutoa.
Watu wanaweza pesa benki mwaka kusubiria odd (riba) ya 1.09 (9%), simshangai anayefuata odd ya 1.15 (15%) kwenye mkeka.
 
Nimefanya tafiti ... Kwa wale wanaocheza 1xbet... Kuna chaguo la kuitwa no digit in first quarter...chagua 9... Katika mechi 100 nilizofuatilia ni 17 tu ndio zimekuwa na 9 .. maana yake ni chini ya asilimia 17 kutokea .. nimeanza kucheza Leo .. ntawapa mrejesho.... Kwa muda wako fuatulia mechi za kikapu kila siku quarter ya kwanza ..ni ngapi zinakuwa na digit/tarakimu 9 ..mtanishukuru Baadae....#MkongweKazini
 
Back
Top Bottom