Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Hapo odds mlima hata ungeweka jero ungelamba hata kilo 3 yaani hata ungeweka 100 bado ingekuja over fiftySiku haikuwa nzuri.
Pole mkuu, sema tu hapo timu za mwisho hapo zimecheza muda moja (09:00) kama hiyo iliyokosa kungekuwa Kuna gap la saa 1 wangekuwa wameachia "cash-out"