Kayombo Tips
JF-Expert Member
- Jun 19, 2020
- 461
- 574
Ulimpa mazima mkuu? Mimi niliwapa magoli kwa wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulimpa mazima mkuu? Mimi niliwapa magoli kwa wote
Ndiyo. Kuna nini kwanini?Kuna watu bado wanatumia 1xbet?
Ulimpa mazima mkuu? Mimi niliwapa magoli kwa wote
Mda mwingine ni uwezo tu wa timu!!Siku hizi ukila hela ya bet hata elfu 20 shukuru maana mambo yamekuwa hovyo Yan unabashiri na refa na wachezaji nao washabet washapewa pesa na matajiri wa betting mara wajifunge, mara VAR ikatae goli, mara mchezaji akose goli la wazi mara dakika ziongezwe 13 mara wakose penalty Yan betting haiko fair tena hivyo na sisi hatutakiwi kuplay fair
Vituo 10✅ code 2... Kesho ni siku... Moja inaisha kesho mil 5, ya pili mil.1 SBL-Maokoto... kesho kutwa.
First half matokeo yalikua 0-0. Wewe umechagua matokeo ya first half badala ya full time. So hapo imechana kihalali kabisaHizi loss mbona sizielewi Wakuu.
Naomba ufafanuzi. Imekuwaje eti?View attachment 2883302View attachment 2883303
Cc JITU BANDIA
hizi option mnazobetia mwe mnaelewa maana yake!.....Hizi loss mbona sizielewi Wakuu.
Naomba ufafanuzi. Imekuwaje eti?View attachment 2883302View attachment 2883303
Cc JITU BANDIA
Elewesha sasa Mkuu.hizi option mnazobetia mwe mnaelewa maana yake!.....
hakuna option ambayo haieleweki hapo.... kichwa chako tu ndo cha kuku...hizi option mnazobetia mwe mnaelewa maana yake!.....
Yeye mwenyewe hakujiuliza odd kibunda kwa option (12) hiyo?First half matokeo yalikua 0-0. Wewe umechagua matokeo ya first half badala ya full time. So hapo imechana kihalali kabisa
USHAELEWESHWA HAPO JUU, WEWE UMECHAGUA KIPINDI CHA KWANZA NYUMBANI AU UGENINI ISHINDE WAKATI HAKUNA ALIYESHINDAElewesha sasa Mkuu.
Unamshirikisha na MunguDaah bora wamesawazisha! Ashukuriwe Mwenyezi Mungu!
Umetapeliwa hiz kampuni zimekaaa kula kuliko kuliwa aiseeHizi loss mbona sizielewi Wakuu.
Naomba ufafanuzi. Imekuwaje eti?View attachment 2883302View attachment 2883303
Cc JITU BANDIA
ndiye mtoa rikizi, by the way betting sio uchawi au ushirikina mpaka ufikie kusema namshirikisha, na pia matokeo yakitu chochote kile yawe mabaya au mazuri kwetu tunapaswa kumshukuru Mwenyezi Mungu,hata hao wanaoshinda jackpot wanapewa na Mwenyezi Mungu...Unamshirikisha na Mungu