JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,868
- 6,453
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen mkuuu wengi hudai kamali ni zambindiye mtoa rikizi, by the way betting sio uchawi au ushirikina mpaka ufikie kusema namshirikisha, na pia matokeo yakitu chochote kile yawe mabaya au mazuri kwetu tunapaswa kumshukuru Mwenyezi Mungu,hata hao wanaoshinda jackpot wanapewa na Mwenyezi Mungu...
Hapana bila kuweka link na promo code huwezi pata bonus kwa mara ya kwanzaBro,
Nauliza in general. Bonus hata usipoweka hiyo link ukajisajili unapata tu.
Lakini kwenye mikeka naona ukiweka stake hiyo hiyo Kwa timu hizo hizo basi Paripesa unapunjika zaidi
Situesheni izi tafu, kopi zati.𝗞𝗮𝗺𝗮 𝗸𝘂𝗻𝗮 𝗺𝘁𝗮𝗮𝗹𝗮𝗺𝘂 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗯𝗲𝘁 𝗮𝗺𝗯𝗮𝘆𝗲 𝗮𝗺𝗲𝘄𝗮𝗵𝗶 𝗸𝘂𝗹𝗮 𝗺𝗸𝗲𝗸𝗮 𝗺𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗮𝗷𝗲 𝗣𝗠 𝗮𝘀𝗲 𝗮𝗻𝗶𝗽𝗲 𝗺𝗸𝗲𝗸𝗮
Tumeruka nalo hili #JahBlessE7172AF TRENI ZURI SANA MPAKA JAN 30 BETPAWA
Ndiyo kodi ya Serikali ipoVipi wanamakato ya serikali?
Hizi loss mbona sizielewi Wakuu.
Naomba ufafanuzi. Imekuwaje eti?View attachment 2883302View attachment 2883303
Cc JITU BANDIA