Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Odds 221 kuna kyuma kinaitwa rangers kimeniangusha kwa kushindwa kulinda ushindi first half.
 
It was a good day.

_20240207_010646.JPG
_20240207_010722.JPG
_20240207_010745.JPG
 
Jamaa kaamua akafanye biashara nyigine ila ni mihemkoo tyuuu.. soon atarudiii
Yeah mkuu yupo vizuri kwenye basketabll......kitaa kitamiss sanaa....amesema atarudi badae kwa sasa anajipa break afanye mambo mengine
 
MECHI ZA LEO TAREHE 07/02/2024

AFCON

(1) Nigeria vs South Africa

Mchezo huu ni mgumu Sana, lakini pamoja na ugumu wote Nigeria Wana shinda mchezo huu.

(2) Ivory coast vs Congo DR

Ivory coast atashinda mchezo huu.

by magical power
Inaweza ikawa tofauti Mimi nampa SOUTH AFRICA TO QUALIFY & CONGO DR TO QUALIFY japo wengi wameweka Kama wewe
 
Back
Top Bottom