ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Yes imetoa
Kivipi Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes imetoa
nasubiri ajax brohKivipi Mkuu?
nipo mkuu mwaka jana nilishinda m150 kwan hukuangalia itv na azam aisee ile pesa nilionga yote saiv sina hata buku naweka tren la mia nipate mtaji wa kujengea na kununua kiwanjaKuna aliyewahi kushinda jackpot humu?
TupeWakuu nina tren la barid la team 7 za ulaya tu niwape mtusue au nile peke yangu
mara nyingi game za mapema zikitoa magoli game za baadae hazitoi magoli mengi and viceversa...Hawa Wasahizi Hawafungani [emoji2297][emoji2297][emoji2297]
anaweza akatoa!Ajax ana maajabu kweli leo?
Win
Over 2
Au tujiandae kisaikolojia [emoji23]
Hongera mkuu, kampuni gani? Ulitumia mbinu gani? Mwaka wa 3 huu najaribu sishindi hata bonusnipo mkuu mwaka jana nilishinda m150 kwan hukuangalia itv na azam aisee ile pesa nilionga yote saiv sina hata buku naweka tren la mia nipate mtaji wa kujengea na kununua kiwanja
Mkuu, Qarabag ni habari nyingine kabisa, Azerbaijan hakuna timu bora zaidi yao wameitawala sana league hiyo.Huyu Qarabag FK kwenye Ligi hafanyi vizuri na Katu Disappoint Punters Mara kibao, leo akapewa 4 odds ila hadi sahizi anaongoza 4 [emoji2297][emoji2297]
Qarabag anakiwasha sana Kwenye ligi yao hata zile mechi alizopigwa na kale katimu walikokutana mara tatu mfulizo na mechi ya kwanza kalipigwa 7 na mechi ya pili mechi haikuwa na presha sana maana ilikuwa ngumu kurudisha hizo saba na qarabag alifungwa sababu hakuwa na nia nayo sana hyo mechi! Braga ni mzuri ila naye kama anasua sua sana hizi mechi kama saba zilizopita hivyo leo amekutana na Qarabag kukandwa ilikuwa lazima na ndo hivyo amekandwa nne! Sometimes tusiangalie odd tuangalie kiwango na performance ya timu! Siku hizi timu yenye performance nzuri ndo inashindaMkuu, Qarabag ni habari nyingine kabisa, Azerbaijan hakuna timu bora zaidi yao wameitawala sana league hiyo.