Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG_9436.jpg
 
Kuna muda unasikiliza kipindi cha michezo unaona wanapiga kelele tu!!
Ivi kuna waandishi kabisa wanadiriki kusema Simba imecheza michezo mingi inaenda kuwaathiri kwenye club bingwa!!

Wakati wengine tunatamani tufikie uwezo wa kucheza mechi kila baada ya siku tatu!!

Nchi imejaa wanafki sana hii
We unahisi nini kilisababisha performance ya Simba uwanjani mechi na JKT kua ndogo?
 
086AFC5 betpawa leo na kesho. Tuishi nayo hii [emoji3063][emoji3063]
 
WAKUU LEO NI JUMAMOSI

MHINDJ HAJAWAHI LIWA JUMAMOSI, LEO TUWE MAKINI NA CHAGUZI ZETU, Hii ndio Siku ya Timu Kubwa Kutu disappoint
 
morning guys[emoji4] leo match kama zote, Mungu atusaidie[emoji120] tushinde, Amen.

hii ya kwanza ni risk bet aisee, eka buku tu ikishinda ule buku 11

4 match only[emoji120]
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20240217_094015.jpg
 
wakuu wacheni nikunywe breakfast kwanza na mume , cas anawahi mahali nabaki mwenyewe[emoji123] , then nianze kuchambua na kuona naowaamini nao wanachambuaje then nidecide zile naona ziko ok kujaribu niwaletee humu pia[emoji120], badae
 
We unahisi nini kilisababisha performance ya Simba uwanjani mechi na JKT kua ndogo?
At nn?!
Binafsi huwa napenda kuwaambia wadau ukitaka kuwa mtazama soka usiangalie upande mmoja ambao nafsi yako ishaweka matokeo kuwa lazma iwe hivi!!

Simba na Yanga kwa sasa watapitia kipindi cha matokeo ya bahati kupitia majina yao na uwezo wa wachezaji, lejea mechi zao baada ya maingizo mapya!! Ni vile timu nyingine zinaumwa majina ya hizi timu bila hivyo tungekuwa tunashihudia matokeo ya kushangaza kwa wapenda matokeo ya upande mmoja!!

Hii hali hutokea kwa timu zote duniani, hapo ubora na bahati huamua matokeo mpaka timu zinapojibalance!!

Timu inapokuwa na michezo mingi ni faida kwa wachezaji na hapo ndo utapata wachezaji Bora kwenye kikosi,, kikubwa timu iwe na lishe bora, madaktari bora na uwezeshwaji uwe Bora, utafurahia timu!!

Tunahtaji tufike huko!!

Sijajua ulitaka Simba ionyeshe kiwango kipi,,,, hiyo ni changamoto ya matokeo yetu tunayoenda nayo uwanjani,,,,,
 
WAKUU LEO NI JUMAMOSI

MHINDJ HAJAWAHI LIWA JUMAMOSI, LEO TUWE MAKINI NA CHAGUZI ZETU, Hii ndio Siku ya Timu Kubwa Kutu disappoint
Ila jumamosi ya leo ni ya kipekee,,,,, imekaa kipesa pesa sana,,,, chagua mechi zako sita au nane tulia,,,,, naamini leo watu watatusua sana
 
LEO NI SIKU YA KULIWAAAAA WANAKAMALIAAA MSIWEKE STEKA KUBWA LEO MTALIA MPAKA MSHANGAE HAKUNA CHA OVER WALA WIN NI KUPIGWA MTUNGO WAKUU MSIJISAHAULISHE SIKU YA PESA ILIKUWA JANA NA JUZ LEO NOMAAAAAA MI HUYO NAENDA KUANDAA NYIMBO ZA FALAJA
 
Ila jumamosi ya leo ni ya kipekee,,,,, imekaa kipesa pesa sana,,,, chagua mechi zako sita au nane tulia,,,,, naamini leo watu watatusua sana
watatusua wakuweka team tatu tatu ila nyie wa team nane lazima ukutane nalo mkitaka kuwin leo komaen na gg au double chance au win na over 2.5 kwa team kubwa mtazisikia team zenye uhakika leo kwenye over liver, mancity, arsenal, hawa wengine ikiwemo yule bwana lazima mfe
 
Man City leo cyo wa kumkimbilia ,,,,

Mechi tatu za wazi - Yanga ( ukiweza unacheza win kwa zaidi ya goli moja),, liver win kwa zaidi ya goli moja, arsenal win kwa zaidi ya goli moja

Kama hutaki makuu zote win kavu
 
Back
Top Bottom