Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unahisi nini kilisababisha performance ya Simba uwanjani mechi na JKT kua ndogo?Kuna muda unasikiliza kipindi cha michezo unaona wanapiga kelele tu!!
Ivi kuna waandishi kabisa wanadiriki kusema Simba imecheza michezo mingi inaenda kuwaathiri kwenye club bingwa!!
Wakati wengine tunatamani tufikie uwezo wa kucheza mechi kila baada ya siku tatu!!
Nchi imejaa wanafki sana hii
At nn?!We unahisi nini kilisababisha performance ya Simba uwanjani mechi na JKT kua ndogo?
Ila jumamosi ya leo ni ya kipekee,,,,, imekaa kipesa pesa sana,,,, chagua mechi zako sita au nane tulia,,,,, naamini leo watu watatusua sanaWAKUU LEO NI JUMAMOSI
MHINDJ HAJAWAHI LIWA JUMAMOSI, LEO TUWE MAKINI NA CHAGUZI ZETU, Hii ndio Siku ya Timu Kubwa Kutu disappoint
watatusua wakuweka team tatu tatu ila nyie wa team nane lazima ukutane nalo mkitaka kuwin leo komaen na gg au double chance au win na over 2.5 kwa team kubwa mtazisikia team zenye uhakika leo kwenye over liver, mancity, arsenal, hawa wengine ikiwemo yule bwana lazima mfeIla jumamosi ya leo ni ya kipekee,,,,, imekaa kipesa pesa sana,,,, chagua mechi zako sita au nane tulia,,,,, naamini leo watu watatusua sana
kumbe ni mchumba bas atakuwa na bahati sana ngoja niende pmMambo vipi mchumba, naona unaendelea kumshikisha muhindi adabu
Hii option haitadumu kanji lazima ataitoa maana inambana sana yeye. Sisi maofisa inatufavor kama utatulia vzr kanji lazima alie.huu sio mtego kweli ? mbona kama inskua rahisi sana
Shem wako uyo Pipa, nenda kwa heshima na tahadhimakumbe ni mchumba bas atakuwa na bahati sana ngoja niende pm
Mkuu sijaona code yako kwa leoShem wako uyo Pipa, nenda kwa heshima na tahadhima
Man City leo cyo wa kumkimbilia ,,,,watatusua wakuweka team tatu tatu ila nyie wa team nane lazima ukutane nalo mkitaka kuwin leo komaen na gg au double chance au win na over 2.5 kwa team kubwa mtazisikia team zenye uhakika leo kwenye over liver, mancity, arsenal, hawa wengine ikiwemo yule bwana lazima mfe