MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Leo niko bize sana mkuu, najuta kuwa mkubwaMkuu sijaona code yako kwa leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo niko bize sana mkuu, najuta kuwa mkubwaMkuu sijaona code yako kwa leo
sawa kaka tatizo hujamleta familia tumjue ila kaka mke umepata yaan hapa tutapiga hela mpaka! Kikubwa shem akutoze mali kubwa mana itafidia kwenye mikekaShem wako uyo Pipa, nenda kwa heshima na tahadhima
asante studioo kwenu wakamaliaMan City leo cyo wa kumkimbilia ,,,,
Mechi tatu za wazi - Yanga ( ukiweza unacheza win kwa zaidi ya goli moja),, liver win kwa zaidi ya goli moja, arsenal win kwa zaidi ya goli moja
Kama hutaki makuu zote win kavu
Ilikua haina ulazima kusema mume wako anaenda wapiwakuu wacheni nikunywe breakfast kwanza na mume cas anawahi airport anasafiri nabaki mwenyewe[emoji123] , then nianze kuchambua na kuona naowaamini nao wanachambuaje then nidecide zile naona ziko ok kujaribu niwaletee humu pis[emoji120], badae
ok, sorryIlikua haina ulazima kusema mume wako anaenda wapi
Wewe ni mwanaume. Sijajua kwann unatumia nguvu nyingi kujifanya mwanamkewakuu wacheni nikunywe breakfast kwanza na mume cas anawahi airport anasafiri nabaki mwenyewe[emoji123] , then nianze kuchambua na kuona naowaamini nao wanachambuaje then nidecide zile naona ziko ok kujaribu niwaletee humu pia[emoji120], badae
mbona? anyway walio na my number wanajua kama me ni baba, au babu, au mama , au bibi ,au ajuza tu wa namtumbo, so amini vyovyote mkuu, maybe me nii katoto tu ka primary hua naiba cm ya mzazi nabet[emoji4],haya sawa me mwanaume[emoji4] are you ok now? tubet sasa mkuu na ubarikiwa pia[emoji4]Wewe ni mwanaume. Sijajua kwann unatumia nguvu nyingi kujifanya mwanamke
6 odds
Pesa hii.......
Wazee wa sure odds [emoji1787][emoji1787]Watu wapo mawindoni afu kuna mtu yupo mawindoni
Wewe malaika wa Mungu mwenzio nina hamsini nina shida na laki na nusu .mbona? anyway walio na my number wanajua kama me ni baba, au babu, au mama , au bibi ,au ajuza tu wa namtumbo, so amini vyovyote mkuu, maybe me nii katoto tu ka primary hua naiba cm ya mzazi nabet[emoji4],haya sawa me mwanaume[emoji4] are you ok now? tubet sasa mkuu na ubarikiwa pia[emoji4]