Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Shem wako uyo Pipa, nenda kwa heshima na tahadhima
sawa kaka tatizo hujamleta familia tumjue ila kaka mke umepata yaan hapa tutapiga hela mpaka! Kikubwa shem akutoze mali kubwa mana itafidia kwenye mikeka
 
F822B8F sporybet.tulia edit vizuri.kuna pesa nzuri tu hapa.[emoji95][emoji95][emoji95]
 
Man City leo cyo wa kumkimbilia ,,,,

Mechi tatu za wazi - Yanga ( ukiweza unacheza win kwa zaidi ya goli moja),, liver win kwa zaidi ya goli moja, arsenal win kwa zaidi ya goli moja

Kama hutaki makuu zote win kavu
asante studioo kwenu wakamalia
 
GG- yes

18 odds, 6 match[emoji4]View attachment 2906697
%E8%B6%85%E7%BA%A7%E6%88%AA%E5%B1%8F_20240217_120101.jpg
 
Tuendeleeni kupeana USHAURI Ili mwisho vilio visifanane

Ila tusisahau kuna Teams wiki Ijayo zinacheza UEFA,na Mara nyingi Mechi zao za weekend huwa x namatokea ya Ajabu,ila lazima team kubwa tuzipe heshma yao.This is betting
 
wakuu wacheni nikunywe breakfast kwanza na mume cas anawahi airport anasafiri nabaki mwenyewe[emoji123] , then nianze kuchambua na kuona naowaamini nao wanachambuaje then nidecide zile naona ziko ok kujaribu niwaletee humu pis[emoji120], badae
Ilikua haina ulazima kusema mume wako anaenda wapi
 
wakuu wacheni nikunywe breakfast kwanza na mume cas anawahi airport anasafiri nabaki mwenyewe[emoji123] , then nianze kuchambua na kuona naowaamini nao wanachambuaje then nidecide zile naona ziko ok kujaribu niwaletee humu pia[emoji120], badae
Wewe ni mwanaume. Sijajua kwann unatumia nguvu nyingi kujifanya mwanamke
 
Wewe ni mwanaume. Sijajua kwann unatumia nguvu nyingi kujifanya mwanamke
mbona? anyway walio na my number wanajua kama me ni baba, au babu, au mama , au bibi ,au ajuza tu wa namtumbo, so amini vyovyote mkuu, maybe me nii katoto tu ka primary hua naiba cm ya mzazi nabet[emoji4],haya sawa me mwanaume[emoji4] are you ok now? tubet sasa mkuu na ubarikiwa pia[emoji4]
 
Wewe malaika wa Mungu mwenzio nina hamsini nina shida na laki na nusu .

Stake ya 50 elfu niko nayo tafadhali nifariji

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
MECHI ZA LEO TAREHE 16/02/2024

Leo timu nyingi zinafanana Sana kinyota:

TANZANIA

(1)Azam vs Geita

Draw au Azam kushinda

Ft 2-1 woon🔥🔥✅✅

(2)KAGERA sugar vs mashujaa

Draw au KAGERA kushinda

Ft 1-1 🔥🔥🔥✅✅

NJE

(1)CR Belouzdad vs Al Ahly

Draw au Al Ahly kushinda

Ft 0-0🔥🔥✅✅
Mechi nilizo toa Jana hongera Kwa washindi
by magical power.
 
Back
Top Bottom