Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asante liver puu kwa over 2.5 asante yanga kwa over 1.5 asante pia kwangu mwenyewe kwa kuweka mkeka uka win m30 kwa odd 15 hizi ni za supu na malaya namngoja aseno anipe over 0.5 na man city over 0.5 kesho win saa nne wakuu hv naweza pata hotel ya m10 kwa masaa matatu hapa tz ili nichukue chopa langu fasta nije mana mi hela yangu haitakiwi kukutana kesho ya leo namaliza leo nikiacha kesho sipati pesa afu wakuu kwa hapa bongo malaya wa m10 nampata wapi nipen location na atae nipa location nzur namnunuria cruse mpya kilometa 0.0 njoen pm tuyajenge nimetumwa kuja kula bata kujenga na maendeleo tutafanya kaburin dunia yenyewe nakaa miaka 60 miaka bilion yote kaburin yanini kujenga ya nn kuwa na mali yann kuoa ya nn kuwa na watoto yanin kulia lia umeme unakatika umeme ukikatika nunua solla watt 500 umeme mpaka chini ya uvungu mnalia lia na umeme wakati umeme wenyewe ukisimama karibu na taa unakiona kivul chako achen mi nile bata wakuu msisahau location tuendelee kubet
Mbona unaleta uxenge wenu wa MMU ktk uzi wa wanaume?
 
Hii option babu ni moto nimetembea thirty seven team in row anakuja kunichania mpuuzi mmoja ako na shinda four goal in a row.maumivu ya betting yako makubwa kuliko ata yale ya mupenzi
I Lost one and half million per one team even the stake ilikuwa two thousands Tz shillings

Even its would be good for God and the World let's win today.and that is the power of new option

Kama ikikupendeza Mungu.basi acha tu boom at least this single weekend,i saw vijana wengi humu Jf ako na pain.our God relving out our pain
Mkuu em tusuke wa leo tuone
 
share_1708252678438.jpeg
 
Daaah lazio first half hamna kona kabisa. Mkeka ndio unapotea hivyo
[emoji28][emoji28]italy na kona wapi na wapi mkuu..italy kweny kona huwa ni napoli tu ana jitahidi sometimes

Over Bookings -la liga
Under booking- league 1 ,bundersliga
Under corner -serie A
Over corner -EPl
GG-Belgium pro -Netherlands
 
[emoji28][emoji28]italy na kona wapi na wapi mkuu..italy kweny kona huwa ni napoli tu ana jitahidi sometimes

Over Bookings -la liga
Under booking- league 1 ,bundersliga
Under corner -serie A
Over corner -EPl
GG-Belgium pro -Netherlands
Kabisaa mkuu naona ujuzi mkubwa sana
 
Back
Top Bottom