Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ja
[emoji28][emoji28]italy na kona wapi na wapi mkuu..italy kweny kona huwa ni napoli tu ana jitahidi sometimes

Over Bookings -la liga
Under booking- league 1 ,bundersliga
Under corner -serie A
Over corner -EPl
GG-Belgium pro -Netherlands
Jana juve katoa kona kibao
 
Back
Top Bottom