Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ya kwanza na ya tatu zina utofauti upi?
Ya kwanza wasifungane magoli yani timu Moja wapo ifunge tuuu ata 10-0 inatakiwa mwenzake asirudishe goli lolote, na ya tatu yoyote ashinde yani wafungane wasifungane inatakiwa Mmoja wapo ashinde ila isitokee tu draw ya 1-1, 2-2, 0-0 draw ndo mchawi hapo
 
Ila huu uzi nikiingia huwa nacheka sana

Won imeambatanishwa na screenshot ya livescore,sio mkeka uliotiki 😂😂😂
Watu wanajifariji wanasahau simu za Maafisa Ubashiri zina application za "flashscore" na "LiveScore" yaani Kila matokeo mtu anayo. Mkeka wenyewe tu ni fursa tosha ya kujua matokeo maana upate au ukose matokeo yanakuwepo kwenye mkeka (ukipost "won" mtu anaona mkeka wake ameloose anabaki abakuzoom
 
Ya kwanza wasifungane magoli yani timu Moja wapo ifunge tuuu ata 10-0 inatakiwa mwenzake asirudishe goli lolote, na ya tatu yoyote ashinde yani wafungane wasifungane inatakiwa Mmoja wapo ashinde ila isitokee tu draw ya 1-1, 2-2, 0-0 draw ndo mchawi hapo
Nimekupata mkuu
 
Kazi kweli kweli hspa kuna harufu ya moja kuchana [emoji2958]
Screenshot_20240228-235006_SportyBet.jpg
 
FTASOUUN(1.5) ,FTASOUUN(1.75) inamaanisha nini?
Hii option ya Asouun ipo site Gani, ila kama ni ft 1.5 over yani goli zianzie goli mbili kuendelea, ft 1.75 over yani goli likipatikana Moja odds hizo sijui Kuna namna wanazifanya wadau humu wanaelewa, ila nzuri hiyo zianzie goli mbili kwa option hiyo hiyo ya 1.75 ft
 
Back
Top Bottom