Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Si bahati bali biashara ambayo wengi ya watu kama wewe hamna mtaji, hivyo mnajikuta mnatengeneza mikeka mirefuuu isiyo na maana
Kuna jamaa yupo X ,watu wanamuona fala kwa odds anazosukia mikeka ila zinamlipa vibaya... masoko yake ni yale ya odds zinazodharauliwa... no red card first half, no team will score three or more goals in a row, favourite team anaipa handicap ya +2 au +3, over 0.5 n.k akizikusanya zikifika odds 1.4-1.5 anaweka mzigo 200k-400k na zinatoa...faida kwa siku anaokota 50-100k
 
Such a nice idea bro!.

We should atleast learn from this dude, he is not greed at all

50-100k profit per day worth!
 
Unaweza kuishinda tamaa na kumantain discipline?
Kuna jamaa yupo X ,watu wanamuona fala kwa odds anazosukia mikeka ila zinamlipa vibaya... masoko yake ni yale ya odds zinazodharauliwa... no red card first half, no team will score three or more goals in a row, favourite team anaipa handicap ya +2 au +3, over 0.5 n.k akizikusanya zikifika odds 1.4-1.5 anaweka mzigo 200k-400k na zinatoa...faida kwa siku anaokota 50-100k
Yuko vizuri hongela yake but betting ni biashala kichaa siku ikiamua kukukaua inakukamua sawa sawa
 
UTABIRI WA MECHI KATI YA SIMBA NA JWANENG GALAXY TAREHE 02/3/2024

Siku hii jua lipo ktk nyota ya Samaki na mwezi ukiwa ktk nyota ya n'ge.

HALI ZA TIMU KINYOTA

Simba ni Mizani kinyota na Jwaneng ni Mbuzi kinyota, hapa tunaona nyota ya Mbuzi itakuwa na msaada wa jua na sayari ya mercury ilhali nyota ya Mizani ikiwa na msaada wa mwezi, sayari ya Venus na mars, Kwa mantiki hiyo nyota ya hii ya Mizani itakuwa na bahati pia nguvu chanya ya ushindani.

HALI ZA MAKOCHA

Kocha mkuu wa Simba nyota yake ni Mshale, siku hii nyota yake itakuwa na usaidizi wa mwezi, sayari ya Venus na mars kwahiyo tunamuona Kocha aking'ara Sana,
Upande wa Jwaneng, Kocha wake ana nyota ya Mbuzi, siku hii tunaona nyota hii ikipata usaidizi wa jua pamoja na sayari ya mercury hii itampatia bahati na nguvu ya kupambana.

MATOKEO YA MCHEZO

Kulingana na mipangilio ya sayari Kwa nyota za timu hizi, vilevile Kwa walimu, MCHEZO utakuwa mgumu Hivyo tunaona dalili ya Sare kama option ya kwanza, option ya pili tunaona jumla ya magoli matatu Kwa timu zote mbili ikiwa na maana: SIMBA 2 na JWANENG 1.
Narudia tena kama uchawi na unajimu ungeweza kutabiri mambo yajayo basi wachawi na wanajimu ndio wangekuwa matajiri wa kwanza hapa duniani..ila hii elimu ya kujua future ,Mungu ameificha hakuna kiumbe ajuae hata dakika moja mbele yake kwasababu tu gekuwa na uwezo huo basi tusingepata madhara yoyote maishani.
 
Yuko vizuri hongela yake but betting ni biashala kichaa siku ikiamua kukukaua inakukamua sawa sawa
Nilichogundua ni kuwa jamaa ana discipline na consistency. Sio kwamba hakutani na lost. Ila kwa kutumia hii strategy aneweza kutengeneza faida zaidi ya 2M kwa kipindi cha mwezi february tu na mwezi mzima amepata lost 3 tu kama sh +200k..ila winning ratio ni kubwa mno
 
One day yes!! 😬😬😬
Screenshot_20240303_231531_Chrome.jpg
 
Kuna jamaa yupo X ,watu wanamuona fala kwa odds anazosukia mikeka ila zinamlipa vibaya... masoko yake ni yale ya odds zinazodharauliwa... no red card first half, no team will score three or more goals in a row, favourite team anaipa handicap ya +2 au +3, over 0.5 n.k akizikusanya zikifika odds 1.4-1.5 anaweka mzigo 200k-400k na zinatoa...faida kwa siku anaokota 50-100k
Ni vyema kumtaja tukazidi kujifunza pia kupitia kwake mkuu
 
Leo nimejichanganya wakuu,nilijiunga na 1xbet leo,nikadeposit hela nikapewa bonus nikaibetia ikaliwa yote,nikaweka mkeka mwingine kwa hela yangu niliyodeposit nikapata,Mtiti ni kwamba inagoma kutoka kwa wataalam wa hii natakiwa kufanyaje ili nitoe hela yangu
 
Ulideposit kwa njia gani?
 
Back
Top Bottom