Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

YANGA vs Namungo

YANGA kesho kuna some players hawamo,ikiwemo Pacome,Diara,lomalisa no

Sasa hii Mechi no ya over 1.5

Ukimpa YANGA goal mbili aiseee roho juuu
 
leo odds za roma zilikua wazi, nikajichanganya nikamwongeza olympiakos 1x, ajax gg......

hatari sana!
 
any team to score 3 or more goals in a row...No...... lile 3-0[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Nisipo post mkeka una won kirahisi ila nikipost tu inakuwa lost
Kama huu leo sija post naona kama una kwenda kuwin
Screenshot_20240307-223212_SportyBet.jpg
 
Back
Top Bottom