Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asubuhi mechi ya simba ilikuwa ina odds 1.6 Kama ukimpa direct win, Ila Sasa hivi jioni inasoma odds 1.36 [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ya leo leo tu kanji akichomoa hapa nitakubali kuwa mchawi

7B488E8
 
Nimejiunga Parimatch bet naona masharti mlima mpaka kudhibitisha akaunt nipige picha kitambulisho mbele na nyuma alafu nipige na selfie huku nimeweka kitambulisho kionekane pamoja na uso.

Nimetokomea kusikojulikana na nimeacha kuendelea na procedure zingine zinazoendelea
KAMPUNI YA KIJINGA SANA HIYO.
 
Nimejiunga Parimatch bet naona masharti mlima mpaka kudhibitisha akaunt nipige picha kitambulisho mbele na nyuma alafu nipige na selfie huku nimeweka kitambulisho kionekane pamoja na uso.

Nimetokomea kusikojulikana na nimeacha kuendelea na procedure zingine zinazoendelea
Naukila Hela mpaka upige picha Tena eti wathibitishe kama ni wewe mafala sana hao kenge kaa mbali kabisa
 
share_1710428377752.jpeg
 
Naukila Hela mpaka upige picha Tena eti wathibitishe kama ni wewe mafala sana hao kenge kaa mbali kabisa
Wanatakiwa wajiamini watoe mkwanja endapo mtu atakula nyingi ndo verification ya jina na ID yako ifanyike, lakini hizi ndogo ndogo sijui laki au laki 2 kikubwa hazizidi million 5 wenzao hawahangaiki na kampuni zingine hata zaidi ya hiyo wanakuacha unazipunguza mwenyewe Kwa mtandao wako wa simu
 
Verification ya nini kwa mchezaji ? Wao wanatakiwa kufanya Verification kwenye mikeka tu kama ni ushindi halali basi ....
 
source: LSFOOTBALL wa facebook

🚩••#TODAYS_REGULAR_TIPS••🚩
🇪🇺#UEL
18:45;🏴󐁧󐁢󐁳󐁣󐁴󐁿 Rangers 🆚 Benfica 🇵🇹 - Ov 1.5
18:45;🇨🇿 Slavia Prague 🆚 AC Milan 🇮🇹 - X2
18:45;🇪🇸 Villarreal 🆚 Marseille 🇫🇷 - Ov 1.5
18:45;🏴󐁧󐁢󐁥󐁮󐁧󐁿 West Ham 🆚️ Freiburg 🇩🇪 - 1X
21:00;🇮🇹 Atalanta 🆚 Sporting CP 🇵🇹 - Ov 1.5
21:00;🇩🇪 Bayer Leverkusen 🆚 Qarabag 🇦🇿 - Home
21:00;🏴󐁧󐁢󐁥󐁮󐁧󐁿 Brighton 🆚️ AS Roma 🇮🇹 - Ov 1.5
21:00;🏴󐁧󐁢󐁥󐁮󐁧󐁿 Liverpool 🆚 Sparta Prague 🇨🇿 - Home
🇪🇺#UECL
18:45;🇹🇷 Fenerbahçe 🆚 Royale Union SG 🇧🇪- 1X
18:45;🏴󐁧󐁢󐁥󐁮󐁧󐁿 Fiorentina 🆚 Maccabi Haifa 🇮🇱 - Ov 1.5
18:45;🇬🇷 PAOK 🆚 D. Zagreb 🇭🇷 - 1X
18:45;🇨🇿 Plzen 🆚 Servette 🇨🇭 - 1X
21:00;🏴󐁧󐁢󐁥󐁮󐁧󐁿 Aston Villa 🆚 Ajax 🇳🇱 - Ov 1.5
21:00;🇧🇪 Club Brugge KV 🆚 Molde 🇳🇴 - 1X
21:00;🇫🇷 Lille 🆚 Sturm Graz 🇦🇹 - 1X
21:00;🇮🇱 M. Tel Aviv 🆚 Olympiacos Piraeus 🇬🇷 - X2

22:00;🇩🇿 MC Alger - ASO Chlef - Home
20:00;🇸🇦 Abha 🆚 Al Wehda
20:00;🇸🇦 Al Hazem 🆚 Al Shabab
20:00;🇸🇦 Al Khaleej 🆚 Al Akhdoud

💵 Total Games: 20
📝 Pick: 15
 
Hii mechi moja hii ni yakuangalia sana

[emoji116][emoji116][emoji116] tukivuka hapa pesa nje nje 🦧🦧
Screenshot_20240314-214937_SportyBet.jpg
 
Back
Top Bottom