mjanja wa kijiji
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 1,582
- 4,378
Sport pesa option ya kucash out inakuja mwanzo kabla ya game kuanza baada ya hapo inapotea, kulikoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sportbety we kula ujuavyo,hawana hata muda wa kukujuaWanatakiwa wajiamini watoe mkwanja endapo mtu atakula nyingi ndo verification ya jina na ID yako ifanyike, lakini hizi ndogo ndogo sijui laki au laki 2 kikubwa hazizidi million 5 wenzao hawahangaiki na kampuni zingine hata zaidi ya hiyo wanakuacha unazipunguza mwenyewe Kwa mtandao wako wa simu
Inategemea na optionsSport pesa option ya kucash out inakuja mwanzo kabla ya game kuanza baada ya hapo inapotea, kulikoni?
Kabla ya mechi kuanza maana yake wanakupa nafasi kama unataka kubadili timu, na baada ya mechi cash-out inakuwa haipo endapo mkeka wako una nafasi kubwa ya kupoteza, mfano kama umempa Marseille ashinde alafu mpaka dakika 54, Villarreal anaongoza goli 2 (hapo cash-out haiwezi kufunguliwa labda kama warudishe ikawa goli 2 kwa 2 huku mechi zingine zipo 50/50)Sport pesa option ya kucash out inakuja mwanzo kabla ya game kuanza baada ya hapo inapotea, kulikoni?
Hii ipo Kwa wazee wa Galsport maana Kwa amount inayozidi 5m wanafanya malipo thru bank na hapo sasa ndo wanaangalia jina ulilofungulia kwenye app Yao iendane na jina la akaunti yako ya bankSportbety we kula ujuavyo,hawana hata muda wa kukujua
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Bayern Leverkusen anaondoka na kijiji cha Direct Win
Mkuu wamesawazsha zote 2 na kuongeza now 90 mntBayern Leverkusen anaondoka na kijiji cha Direct Win
Mm nilibeti Mia 300, magoli matatu nimeliwaYANGA YANGA YANGA
Tuliokubetia magoli mengi kimazoea leo umesema hutaki shobo
Leverkusen huwa nawaamini sana ila leo walinipa wasi wasi.Leverkusen wamejua kunipa presha walichukulia gem poa wamenshnda 3_2 Kwa mbnde Sana dakk 6 za nyongeza wameokoa ef kumi yangu
Yanga akishamshushia mtu kisago mechi inayofuata huwa ana slow down nadhani inachingiwa na timu inayokutana nayo kujihamu.
Saa mbili na robo usiku,Ili watu wapoze iftar kabisaaWandugu hivi game la Simba lipo pale pale saa 10 jioni au Kuna changes