Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wanatakiwa wajiamini watoe mkwanja endapo mtu atakula nyingi ndo verification ya jina na ID yako ifanyike, lakini hizi ndogo ndogo sijui laki au laki 2 kikubwa hazizidi million 5 wenzao hawahangaiki na kampuni zingine hata zaidi ya hiyo wanakuacha unazipunguza mwenyewe Kwa mtandao wako wa simu
Sportbety we kula ujuavyo,hawana hata muda wa kukujua
 
Sport pesa option ya kucash out inakuja mwanzo kabla ya game kuanza baada ya hapo inapotea, kulikoni?
Kabla ya mechi kuanza maana yake wanakupa nafasi kama unataka kubadili timu, na baada ya mechi cash-out inakuwa haipo endapo mkeka wako una nafasi kubwa ya kupoteza, mfano kama umempa Marseille ashinde alafu mpaka dakika 54, Villarreal anaongoza goli 2 (hapo cash-out haiwezi kufunguliwa labda kama warudishe ikawa goli 2 kwa 2 huku mechi zingine zipo 50/50)
 
Leverkusen wamejua kunipa presha walichukulia gem poa wamenshnda 3_2 Kwa mbnde Sana dakk 6 za nyongeza wameokoa ef kumi yangu
 
Mbona humu ndani kimya?
Giza likizidi jua kunakaribia kupamabzuka so turudi vitani wazee
 
Back
Top Bottom