Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sare japo kawekwa moja. Ila kuna mwamba anaitwa chippa😂😂 ni trashKanji hajawahi kosea.
Pole!Wolves mbwaaa
Mwache aingie pekuKanji hajawahi kosea.
Aisee mbwa kabisaaaWolves mbwaaa
Just imagine weekend kama leo hakuna wachangiaji kabisa kama ilivyokua mwaka jana.Now days jukwaa limepoa sana.🤷🏿♂️🤷🏿♂️🤷🏿♂️
Just imagine weekend kama leo hakuna wachangiaji kabisa kama ilivyokua mwaka jana.
hii hesabu ni pasua kichwa
hii hesabu ni pasua kichwa
Wataalamu wa Hesabu hapa shida ni nini?
6÷2(2+1) MAGAZIJUTO ANZA NA KUFUNGUA MABANO KISHA GAWANYA 6÷((2*2)+(1*2)) 6÷(4+2) 6÷6 1www.jamiiforums.com