Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau mimi nina swali?
Hivi ikatokea bahati ume bet then ukashinda billions huko mfano bilioni 1 au 2 au hata 3. Hizi betting companies zinaweza kukulipa kweli hiyo hela? Mfano labda unatumia 1xbet, betpawa au betway. Kuna uwezekano ukalipwa hiyo hela? Ikiwa umeshinda mkwanja mrefu
Huwezi kushinda hizo hela
 
Hizo billions ni pesa ndogo sana kwa wahindi
 
6ASEZW9
Screenshot_20240323-170727.jpg
 
Back
Top Bottom