Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

🏀🏀🏀
 

Attachments

  • share_1711982773832.jpeg
    share_1711982773832.jpeg
    75.8 KB · Views: 5
Hela ya kanji ni ngumu sana, ukifanikiwa kuipata jitahidi sana kuitumia kwa heshima.
😁😁😁😁 yaaaani hata siku mkeka ukitiki ujue hapo umeshakaa roho juu mpaka dakika 90 ya mechi. Au goli linafungwa dakika za nyongeza. Kanji anatupasua sana ndio maana akija kupasuka asapasuka kisawasawa mpaka anawakopa wakamaria😁😁
 
Man u ulaaniwe qummke umeninyima 650000 kwa kutoka droo unashindaje dk 96 dk 99 unaruhusu goli taqo wewe.
 
Haya odd 4 hizi (SPECIAL VIP)
1.inter vs empol #home win under 3.5
2..JONG PSV VS Roda #first half over 1.5
....................................................

(((CORRECT SCORE PREDICTION )))
Haya wazee wa odd za mlima 14
(correct score)
1.portmonense vs braga #magali
fl time 0-2 (7.0 odd)
2.villa real vs alteltico madrid# magol full time 1-2 (7.0 odd)
******************************************

Kila lakheri wapambanaji weka timh chache uongeze uwezo wa kubutua ,***
 
Haya kama un
Screenshot_20240401_202736_Whiz Betting Tips.jpg
a book tupia kwa hizi timu na utulize mbupu ....chill baadae utakuja kunishukuru
 
Dah! Miezi miwili mfululizo, nampa tu kanji pesa ya wanae shule 🥸
Betting ni stategic na sio emotion , lkn nimejifunza kanji mkaji ukiwa na shida na hela usifanye betting kwa lengo ,la kjpata hela ....tuliza kichwa utabutua tu
 
Back
Top Bottom