Changchun yatai
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 410
- 1,050
Zingekua hazipangwi juve asingeshushwa daraja Ac Milan kukatwa point wala akina sturiddge na wachezaji wengi Italy kufungiwa na kupigwa fine, makampuni ya betting yadhamini tu timu huo mkwanja unarudije?Sijajua labda una ushahidi mwenzangu sizani Kwa ligi kubwa kama mechi zinapangwa 🤔