Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaBorrusia Bingwa
ukinunua kiwanja huko kibaha Lazima utoboe bila presha aise 🐒Kama kichwa Cha habari kinavyosema wadau vipi hapa nataka kuweka million 1 mnayoona hapo nitataboa kweli wadau naombeni ushauri
Kuna kiwanja cha hiyo bei huko mjini?ukinunua kiwanja huko kibaha Lazima utoboe bila presha aise 🐒
Yaani nilie kisa million 1Usije ukaanza kulia, achana na kubeti
Pesa ndogo sana hiyoukinunua kiwanja huko kibaha Lazima utoboe bila presha aise 🐒
Mpaka laki6 unapata 🐒Kuna kiwanja cha hiyo bei huko mjini?
hadi kwa laki6 unapata, na pesa ulobaki nayo unaanza kulima bustani kabisa ya tikiti, nyanya na bamia, ili upate pesa ya kujenga nyumba 🐒Pesa ndogo sana hiyo
Kibaha sehemu gani mkuuMpaka laki6 unapata 🐒
Nyumba ninazo nyingi sana unamshauri mtu ambae humjui mzeehadi kwa laki6 unapata, na pesa ulobaki nayo unaanza kulima bustani kabisa ya tikiti, nyanya na bamia, ili upate pesa ya kujenga nyumba 🐒
sio lazima uchukue ushauri huo wewe mwenye nyumba nyingi, ni yeyote atakaeona inafaa 🐒Nyumba ninazo nyingi sana unamshauri mtu ambae humjui mzee
Sasa hii thread haihusu habari za kulima naona umepotea mzee nenda kwenye thread za wakulimasio lazima uchukue ushauri huo wewe mwenye nyumba nyingi, ni yeyote atakaeona inafaa 🐒
Kibaha sehemu gani mkuu
kubeti ni kilimo, unaweza kuvuna au ukavunwa vilevile 🐒Sasa hii thread haihusu habari za kulima naona umepotea mzee nenda kwenye thread za wakulima
Za NBC are OkKama kichwa Cha habari kinavyosema wadau vipi hapa nataka kuweka million 1 mnayoona hapo nitataboa kweli wadau naombeni ushauri
Hujielewi wewe kwani Mimi sijui ninachokifanya mambo ya betting unaleta habari za kulima wewe itakua ngosha nenda kalime wewe mzee Mimi najua ninachokifanyakubeti ni kilimo, unaweza kuvuna au ukavunwa vilevile 🐒
Odds za kilimo ni uhakika zaidi kuliko kumtafutia ugali muhindi 🐒
sasa ushauri wa nini unaomba,Hujielewi wewe kwani Mimi sijui ninachokifanya