Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

sure tips
Berkane w
esteghlal win
Malmo ov 1.5
start ov 1.5
Leusane ov 1.5
luzern ov 1.5
1.40/1.35/1.20/1.25/1.25/1.20
Mxb
 
Kama kichwa Cha habari kinavyosema wadau vipi hapa nataka kuweka million 1 mnayoona hapo nitataboa kweli wadau naombeni ushauri
 

Attachments

  • Screenshot_20240528-120903.jpg
    Screenshot_20240528-120903.jpg
    403.7 KB · Views: 7
kubeti ni kilimo, unaweza kuvuna au ukavunwa vilevile 🐒

Odds za kilimo ni uhakika zaidi kuliko kumtafutia ugali muhindi 🐒
Hujielewi wewe kwani Mimi sijui ninachokifanya mambo ya betting unaleta habari za kulima wewe itakua ngosha nenda kalime wewe mzee Mimi najua ninachokifanya
 
Back
Top Bottom