Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

DUNDALK GG 1.85

ODD OV 2.5
1.65

WEKAMKE NA WATOTO
SSADAKA
0713458722
 
HELSINGBORG
ĢĢ &2.5OV
2.30

22.WEKAOV 3.5 KUJILIPUA
ODDS ZAKUTOSHA
 
2.20
Argentina
deporting espanol win
Walewenye mzigo win or drw Weka.zigo
 
SHAMROCK WIN
1.40
BERDABLICK OV 2 5
1.40
KUPS WIN OR DRW
1.35
STAKEPDIDY
SSdk0713458722
 
Tuishi humu
Screenshot_20240628-144939.jpg
 
betting bhana!, sijui ni nguvu mbaya isiyoonekana au pupa zako tu?. kati ya hivyo viwili, mara nyingi kimojawapo kinakutoa nje ya mstari unakuwa mtu wa kurudia makosa yaleyale unayojiapiza hutoyarudia tena. cha ajabu ukiishiwa stake unajiapiza safari hii nikidepost sileti masihara. lakini ukishadeposit tu, dharau, masihara vinakuwa palepale. siku zinakatika kimasihara kwa dharau na kupuuzia hela ndogondogo unazolost .

-dharau ya kujiamini: "nikichana leo siku za mbele nitashinda tu"

-dharau ya ukiwa na stake ya kutosha: "hata nikichana bado nitarecover loss"

-dharau ya kucheza vitu vilivyo nje ya mikakati yako. hii inakuja pale option unayotumia siku hiyo inakua na mechi chache, unaamua kujiongeza ucheze option nyingine au ukopi mikeka kutoka source ya ukweli, matokeo yake option usiyozoea kutumia inachana, au mechi uliyokopi inachana.

BETTING NI KWA MAJASIRI
 
Back
Top Bottom