Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betting haihitaji watu waoga waoga kama Joanah 😅😅

kuna kulipuka na kulipua
FB_IMG_1723354938630.jpg
Screenshot_20240811-094323.jpg
 
Hivi premier bet nna miaka mingi sijaitumia juzi nkawajaribu kwa stake ndogo tu mkeka ukajibu,Leo nikaivuta kwa njia ya voucher tangu saa 7 mchana hivi hela imekatalia hewani,sio kesi ,kesi unapopiga simu kwao kutaka mssada na msaidizi anakata simu kabla ajakusaidia hii taasisi ya bodi ya kamari tanzania kuna watu watupishe pale wawekwe vijana wanaojua tekenolojia imefikia wapi
Kwenye kukata simu hapo namm nipo ishanikuta mara kadhaa nawapigia anapokea kisha anakata zaidi ya x5 mwishon akapokea jamaa anasema muda wa kazi umeshaisha piga kesho nikachoka
 
Kwenye kukata simu hapo namm nipo ishanikuta mara kadhaa nawapigia anapokea kisha anakata zaidi ya x5 mwishon akapokea jamaa anasema muda wa kazi umeshaisha piga kesho nikachoka
Hata mda huu nimepiga mara mbili wanapokea halafu wanakata.hela tangu jana hawajarudisha kwenye akaunti kuna kampuni zinavunja sana moyo kwa kweli
 
Back
Top Bottom