Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hata kama betting aieleweki, hivi hapo nitaikosa hiyo laki Moja kweli?
Screenshot_20240818-151038.png
 
Screenshot_20240818-163728_1.jpg

🔥FREE EXPRESS ON PARIPESA.

Booking Code: L3RJT

Register For PARIPESA And Stake

PROMO CODE👉👉 TIPS2424
 
Mnaotumi 1xbet mnawekaje hela kupitia simu nimefanya muamala kupitia Airtel tangu asubuhi mapa muda huu hela haisomi..au nimekosea namna ya kuweka hela..nimedownload app ingine betwinner pia limetokea tayizo hilo hilo.shida ni nini hapo au Airtel ndio shida.. au huo mfumo unasumbua
 
Mbona kwa Halopesa ni dk 0 tu inasoma kwenye acc
 
Mbona kwa Halopesa ni dk 0 tu inasoma kwenye acc
Nimewapigia betwinner wameniambia Kuna shida kwenye mfumo wa malipo huko e wallet. Kwahiyo nisubiri kwa muda wa saa 24 nadhani shida hiyo hiyo ndio ipo na 1xbet... Ameniambia Airtel inasapoti kupitia E wallet ila mitandao mingine inajitegemea aah nikaona miyeyusho tu nimekata simu..Yani mm nataka niweke mkeka saiz wao wananiambia nisubiri..nimewauliza Airtel wanasema wao hela washaipeleka kwa wahusika
 
Back
Top Bottom