Wamenibania cash out kila nikijarib haitokihiyo hela si utoe mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamenibania cash out kila nikijarib haitokihiyo hela si utoe mkuu?
We Weka hisia tu, utaimba haleluyaHivi Chelsea mnatuchuliaje lakini dah!!! Yaani kikauzu kabisa utatuua mweh!!!
Umewahi kuuona mshikaki wa mfupa?Hata kama betting aieleweki, hivi hapo nitaikosa hiyo laki Moja kweli?View attachment 3073385
Two down one left hongeraLeo liwalo na liwe;
Singida big stars - win
Simba- win
Mancity- win
Nikipata nipate nikikosa nikose
Umewahi kuuona mshikaki wa mfupa?
Zipo sema Chelsea ndo wanazichelewesha huenda ingekuwa 1:1 saiziAnaengalia man city hv goli 3 zpo kwel kwa mchezo mama.....
Walioweka gg kichekoAjax ku.mama.e
Mbona kwa Halopesa ni dk 0 tu inasoma kwenye accMnaotumi 1xbet mnawekaje hela kupitia simu nimefanya muamala kupitia Airtel tangu asubuhi mapa muda huu hela haisomi..au nimekosea namna ya kuweka hela..nimedownload app ingine betwinner pia limetokea tayizo hilo hilo.shida ni nini hapo au Airtel ndio shida.. au huo mfumo unasumbua
Nimewapigia betwinner wameniambia Kuna shida kwenye mfumo wa malipo huko e wallet. Kwahiyo nisubiri kwa muda wa saa 24 nadhani shida hiyo hiyo ndio ipo na 1xbet... Ameniambia Airtel inasapoti kupitia E wallet ila mitandao mingine inajitegemea aah nikaona miyeyusho tu nimekata simu..Yani mm nataka niweke mkeka saiz wao wananiambia nisubiri..nimewauliza Airtel wanasema wao hela washaipeleka kwa wahusikaMbona kwa Halopesa ni dk 0 tu inasoma kwenye acc