The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Unatafuta nini hapa, sisi tunajua ni ngumuPoleni sana vijana msio na ajira rasmi, betting ni ngumu sana na hatari kea afya ya moyo wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatafuta nini hapa, sisi tunajua ni ngumuPoleni sana vijana msio na ajira rasmi, betting ni ngumu sana na hatari kea afya ya moyo wako
🤣🤣🤣🤣Umeniingiza chaka mikeka miwili imechanika
Timu iko kwenye streaming ya ushindi,,,, watashinda hii mechi na wasiposhinda basi hata huu msimu ubingwa inabidi wajitafakaliUsiku wa kichawi
Live tupo 14 people
Wote Barcelona katuvuruga
Ila mkeka mmoja Mbwa huyu nimempa Corners over 7.5 nasubiria
🤣🤣🤣🤣🤣oyoo nabii wa mikeka namalizia likizo nakuja wana mnaliwa sana hv hamzionei huruma hela zenu jaman kesho natoa odd 320 ya uhakika jitaidin muandae teniten mana mnaenda kuwa matajir wa kutupwa
At least 👏👏👏👏Timu iko kwenye streaming ya ushindi,,,, watashinda hii mechi na wasiposhinda basi hata huu msimu ubingwa inabidi wajitafakali
Mkuu betting siyo rahisi kiasi hicho. Hata wachambuzi na magwiji wa michezo wanabet kila siku lakini je wanashinda kila siku? Unadhani hata mimi ninapo beti napenda hela ipotee? Katika hili jukwaa wewe jamaa umejaa lawama sana na mtazamo hasi.Huyu jamaa ameniingiza chaka, naachana na hiyo kampuni soon Nitaanza kutupia codes za sportybet
🤣🤣🤣🤣
We umeona promo za PARIPESA ukajua pesa
Wao wanakitengeneza na promo code Ili beneficiaries wawe wao
Jina tu
Mkuu hebu nitumie Mkeka ulio shinda Sportybet wenye odds 5 - 10 ndani ya wiki mbili zilizopita. Natumai umebet wiki iliyopita na wiki hii, nitumie kiasi cha hela ulicho shinda Sportybet.🤣🤣🤣🤣
We umeona promo za PARIPESA ukajua pesa
Wao wanakitengeneza na promo code Ili beneficiaries wawe wao
Jina tu unaona lipo kisanii, PARIPESA ndio nini 🤣🤣🤣
Mtakataana Wenyewe kwa wenyewe
We umeona wapi kampuni inakuwa na KUWADI tena KUWADI analipwa kama kaleta Dem geto
Mkuu nasubiri ushindi mnono unaopata kila siku Sportybet. Kama Sportybet huwa unashinda hata mara 4 - 5 kwa wiki basi hiyo kampuni itakuwa inataka watu wake wafanikiwe. Mkuu shusha Code za sportybet nitaweka hela, nasubiri ushindi angalau mara 4 - 5 kwa wiki. Mimi nikishinda hata mara 3 - 4 kwa wiki kwenye sportybet itakuwa faida kubwa sana kwangu. Lete Code za sportybet zenye odds 2 - 10, watu turuke nazo na kampuni inayotaka wateja washinde SportybetUsiku wa kichawi
Live tupo 14 people
Wote Barcelona katuvuruga
Ila mkeka mmoja Mbwa huyu nimempa Corners over 7.5 nasubiria
Poa MdauMkuu nasubiri ushindi mnono unaopata kila siku Sportybet. Kama Sportybet huwa unashinda hata mara 4 - 5 kwa wiki basi hiyo kampuni itakuwa inataka watu wake wafanikiwe. Mkuu shusha Code za sportybet nitaweka hela, nasubiri ushindi angalau mara 4 - 5 kwa wiki. Mimi nikishinda hata mara 3 - 4 kwa wiki kwenye sportybet itakuwa faida kubwa sana kwangu. Lete Code za sportybet zenye odds 2 - 10, watu turuke nazo na kampuni inayotaka wateja washinde Sportybet
Sasa lengo la kuifagilia Sportybet kuwa huko ni bora kuliko kwa mrusi ni lipi ikiwa kila siku hupati hata 50000? Mimi nimekuuliza mara ya mwisho umeshinda lini odds 5 - 10 kwenye hiyo Sportybet yako? Ukuwadi na unazi wa Sportybet tu unakusumbua. Haya mwenzako leo ni kwa siku ya tano naingiza faida ya 60000+ kwa mtaji wa 100000 tu huko huko PARIPESA. Tazama faida ya jana👇Poa Mdau
Sure, at least this season sijaanza vibaya kiviile,maaana nimebadili mfumo wa mamikeka mareeefu
Just three mikekas kwa siku mbili,then na relax,hata ukichanika unakuwa haupo addictive saana na at least stake inakuwa moderate.
Ila ukifix mikeka ya winning on the same day,ukichanika then on the sane day unabet tena,aisee unaweza kukuta kwa siku unabet hata mara nne Tano,which makes you as addicted one.
Mfano this one,hapo nasubiria Azam tuu Mechi inipe over 2.5 ambapo kama first half haitotoa goal hata Moja,basi ma Cashout fastaa ku save mtaji,maana ni last match on slip ,so Cashout ipo open
View attachment 3081092
Narudi Mdau na optioned Codes 9 zenye odds 2-10
Nitarudi nazo kabla ya Saa Sita, nasubiria march ya Young Africans iwekwe,najua Mchana itakuwa tayari then Nita kutagg
Oya ndio uniandikie gazetii??Mkuu betting siyo rahisi kiasi hicho. Hata wachambuzi na magwiji wa michezo wanabet kila siku lakini je wanashinda kila siku? Unadhani hata mimi ninapo beti napenda hela ipotee? Katika hili jukwaa wewe jamaa umejaa lawama sana na mtazamo hasi.
Unaposema unaenda Sportybet ni kama vile huko Sportybet wanakupaga hela ya bure. Nenda tu Sportybet mwamba, tunatarajia kila siku utakuwa una post hapa Won Ticket. Uwe unapost Code zako hapa za Sportybet mwenyewe nitazichukua nitatia hela nzuri tu. Natumai tutakuwa TUNASHINDA mara 5- 7 katika wiki..
Ili uelewe. Nategemea won slip kila siku kutoka Sportybet ulizocheza weweOya ndio uniandikie gazetii??
🤣🤣🤣 Nimezoea utani kaka ila nitaacha kulalamikaIli uelewe. Nategemea won slip kila siku kutoka Sportybet ulizocheza wewe