Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kumbe jana atletico ukaondoka na mikeka dah
 
Attachments

  • Screenshot_20240829-091612.png
    Screenshot_20240829-091612.png
    111 KB · Views: 3
Mkuu ongea na mabosi wako wa Sportybet, waambie wanitafute tufanye kazi. Tuipeleke kampuni kunakotakiwa. Uwezo wangu utaonekana nikianza kazi. Shida ni je wataweza kufuata masharti yangu?

Hii kampuni bado changa. Afrika ipo kwenye Nchi 6 tu hivyo inahitaji kupelekwa kwenye Nchi nyingine 50+ za Africa na huko duniani.
Wewe kidampa kweli kampuni inatangazwa na Madrid wewe unalipi jipya la kuongeza fungua kampuni Yako iwe hata nchi 1 tu ndio tukuone uko serious
 
Betting haiko hivyo,,,,, hebu nambie kama ulimlinda Atletico au ulimpa under 1.5

Betting ni kaupepo flan hivi
 
Wewe kidampa kweli kampuni inatangazwa na Madrid wewe unalipia jipya la kuongeza fungua kampuni Yako iwe hata nchi 1 tu ndio tukuone uko serious
Inakuja mkuu. Kuhusu kampuni usijali itakuja. Soma quote hii ya Napoleon Hill, kisha tafakari ina maanisha nini "The oak sleeps in the acorn. The bird waits in the egg, and in the highest vision of the soul, a waking angel stirs. Dreams are the seedlings of reality".
 
Huna uwezo huo wewe choka mbaya kabisa fanya mambo Yako mengine usituletee pumba hapa
 
Wewe kidampa kweli kampuni inatangazwa na Madrid wewe unalipia jipya la kuongeza fungua kampuni Yako iwe hata nchi 1 tu ndio tukuone uko serious
"The oak sleeps in the acorn. The bird waits in the egg, and in the highest vision of the soul, a waking angel stirs. Dreams are the seedlings of reality" ~ Napoleon Hill
 
"The oak sleeps in the acorn. The bird waits in the egg, and in the highest vision of the soul, a waking angel stirs. Dreams are the seedlings of reality" ~ Napoleon Hill
Peleka pumba zako huko
 
"The oak sleeps in the acorn. The bird waits in the egg, and in the highest vision of the soul, a waking angel stirs. Dreams are the seedlings of reality" ~ Napoleon Hill
Peleka pumba zako huko
 
Huyo jamaa anapenda sana kesi kesi. Muulize yeye kama anajua kubeti mara ya mwisho alishinda lini? Maana na yeye yupo kwenye jumuia hii hii.
 
Las Palmas – Real Madrid: Away Win
Ajax – Jagiellonia: Home Win
Kagera Sugar – Young African: Away Win
Beskitas – Lugano: Over 1.5
Kwa mikeka zaidi tembelea link hapa chini
 
Huyo jamaa anapenda sana kesi kesi. Muulize yeye kama anajua kubeti mara ya mwisho alishinda lini? Maana na yeye yupo kwenye jumuia hii hii.
Wala haina haja,,, maana anakushambulia tu kwa kutuma won ,,,
Ila majuzi zile odds kumi na 11 uliweka kabla ya mechi kuanza na zilitoa na kuna watu walishukuru pia Pdidy naye zake zilitoa sana na watu walishukuru pia wale waliofuata!!

Nimeonyesha kuwa nimepoteza kumbe Atletico amedroo naona mwamba mwenye ufundi wa kubeti ameniona ni ng'ombe,,, ukiweka za won analalamika!!!🤣🤣🤣

Mi hata odds 100 natia kilo au zaidi as longer as nafsi yangu inaniambia weka

Anyway tumuache fundi,,,,
 
Back
Top Bottom