Kabisasamahani lakini...stake 36ok ushindi 430k........? mbona kama unajibana sana mana siku ikienda mtaji umekufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisasamahani lakini...stake 36ok ushindi 430k........? mbona kama unajibana sana mana siku ikienda mtaji umekufa
Natumia akili sio kukurupuka kuweka mitimu isiyoelewekasamahani lakini...stake 36ok ushindi 430k........? mbona kama unajibana sana mana siku ikienda mtaji umekufa
Sawa nionyeshe hiyo hela ya mboga niamini kweli kama ni ya mboga kwako kama hiyo niliyokuonesha ya kibubuMkuu kulikuwa kuna haja gani ya kumwambia hajui kubet? Mkuu hiyo hela ya kwenye kibubu cha Tigo pesa kwangu ni mboga tu.
mhhh...vizuri,mi hua natafuta laki 2 tu kwa mwezi kutoka kwa kanji,ukitoa mtaji elfu 50 faida inakua 150k kwa mwez mana mtaji wangu wa ngamaNatumia akili sio kukurupuka kuweka mitimu isiyoeleweka
Kikubwa usikurupuke kwenye mitimu ya ajabu ajabumhhh...vizuri,mi hua natafuta laki 2 tu kwa mwezi kutoka kwa kanji,ukitoa mtaji elfu 50 faida inakua 150k kwa mwez mana mtaji wangu wa ngama
milioni 10 kwenye infinix.........😀Sio sijashinda sijabeti kabisa sababu natumia pesa ya msimu uliopita Mimi sio masikini kama wewe Kila siku unaamkia kubet hii ni pesa ya kula Bata wiki hii tu ipo kwenye saving ya tigo pesa Leo ndio naanza kazi sio wewe ukiliwa ki laki 3 chako unaanza kulaumu wanaoponda mikeka yako wakati ni kweli wameingia hasara Kwa wewe kuwachota akili
Ulitaka nitumie simu ganimilioni 10 kwenye infinix.........😀
by the way hio mada yenu kama mnatoka nje ya uzi hivi..........
mwenye code jambo la kurocha ods 1000 aweke tumtafute kanji
ulikua mzaha,ila mpo nje ya uzi.....kama una code tuma boss milioni 10 hayo mengine sio lazimaSawa wewe mwenye iphone nionyeshe hata Million 1 tu ya saving yako
Ndio nimekuuliza ulitaka nitumie simu gani kubetiaulikua mzaha,ila mpo nje ya uzi.....kama una code tuma boss milioni 10 hayo mengine sio lazima
kila la heri,mi nasubiri codeNdio nimekuuliza ulitaka nitumie simu gani kubetia
Code Kila mtu ni Siri yakekila la heri,mi nasubiri code
Hiyo kawaida sana mkuu tuangalie yajayoHawa wahuni jana wamezingua kila sehemu.
View attachment 3081916
Kwa bahati mbaya siyo mtu wa mambo ya kubragg. Pia siyo wote wanaweka hela zao kwenye simu.Sawa nionyeshe hiyo hela ya mboga niamini kweli kama ni ya mboga kwako kama hiyo niliyokuonesha ya kibubu
Huna kitu fukara tu weweKwa bahati mbaya siyo mtu wa mambo ya kubragg. Pia siyo wote wanaweka hela zao kwenye simu.
SawaaaSawa tajiri.
Kwa hiyo nifanye hayo yote lengo ni kuridhishe wewe?Huna kitu fukara tu wewe
Mzee si ushamaliza umekubali wewe ni fukara mbona hujiaminiKwa hiyo nifanye hayo yote lengo ni kuridhishe wewe?