Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu kulikuwa kuna haja gani ya kumwambia hajui kubet? Mkuu hiyo hela ya kwenye kibubu cha Tigo pesa kwangu ni mboga tu.
Sawa nionyeshe hiyo hela ya mboga niamini kweli kama ni ya mboga kwako kama hiyo niliyokuonesha ya kibubu
 
Sio sijashinda sijabeti kabisa sababu natumia pesa ya msimu uliopita Mimi sio masikini kama wewe Kila siku unaamkia kubet hii ni pesa ya kula Bata wiki hii tu ipo kwenye saving ya tigo pesa Leo ndio naanza kazi sio wewe ukiliwa ki laki 3 chako unaanza kulaumu wanaoponda mikeka yako wakati ni kweli wameingia hasara Kwa wewe kuwachota akili
milioni 10 kwenye infinix.........😀
by the way hio mada yenu kama mnatoka nje ya uzi hivi..........
mwenye code jambo la kurocha ods 1000 aweke tumtafute kanji
 
Hawa wahuni jana wamezingua kila sehemu.
FB_IMG_17249154955918568.jpg
 
Sawa nionyeshe hiyo hela ya mboga niamini kweli kama ni ya mboga kwako kama hiyo niliyokuonesha ya kibubu
Kwa bahati mbaya siyo mtu wa mambo ya kubragg. Pia siyo wote wanaweka hela zao kwenye simu.
 
Back
Top Bottom