Code hii Kuna alieweka zilikuwa odd 1.8231E810 Sportybet
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Code hii Kuna alieweka zilikuwa odd 1.8231E810 Sportybet
YaahNadhani hujanielewa namaanisha kuna games nyingi unaweza kubet kiasi kikubwa cha pesa(zaidi ya mil 100) lakini kitu kama hicho huwezi kukuta kwenye kampuni zingine
Hata kwenye stake Kuna game nyingi huwa anaruhusu pesa ndefu sana hata billioniYaah
Kampuni zingine zina limit kiwango cha kulipa kwa mkeka
Kama hela ya mwisho ni 80M hata ukila 200M watakulipa 80M tu
Mrusi yeye anacheza na limit ya stake
Kwa mfano game ya leo ya Yanga limit ya stake ni 16,000 tu
Hata kama una milioni kwenye acc stake inakulazimu uweke 16,000 tu
kwa mtaji huu ni bora ungekua unatembea na odds chache 2-4, na timu zisizidi 5!Kumbe jana atletico ukaondoka na mikeka dah
hongera mkuuAsante Yanga kwa ya supu,,ila Dube mbupu zako kwa kuniweka roho juuView attachment 3082255
Code hii Kuna alieweka zilikuwa odd 1.82
Daaah laki kwa elfu 5?????Yanga kashanipa za supu kesho rasmi nimeanza msimu huu
Vipi ni pesa yako?????Daaah laki kwa elfu 5?????
Una roho ya chuma masterVipi ni pesa yako?????
Bado inaendelea mkuu 3-0Gem ya GIRONA hawa azam wanairusha kupitia channel gani?
IpiGame ngumu mnoooo
Kwa kanji pagumu mnoo