Muhsin Snr
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 515
- 806
kipindi baka wanapambana wampate dani olmo wao wanasheherekea kumpata mtoto mdogo...haya msimu huu atachana sana mikeka yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani baada ya azam kuchana nikarebet huo niliorebet akachana atletico nikaona acha nipumzike kidogo kumbe Madrid kazingua tena hii wiki sio kabisahalla madrid!
🤣 ***** we jamaaHuwa nashangaa mtu anapopangia timu zifungane au zisifungane utadhani yeye ni goli.
Madrid over 1.5 🤑🤑🤑🤑🤑🤣 ***** we jamaa
niuzie mkeka 😜Madrid over 1.5 🤑🤑🤑🤑🤑
🔥🔥Kampuni Sportybet
Odds 2.87
Code D9FE57
😭😭😭Kwema humu ndugu zangu, edit na wewe inaweza ikawa wewe ndo una bahati
Code 99C8A9
Odds 120.54
Kampuni Sportybet
Hiyo biashara sijui maana hata wachezaji na makocha hawajui matokeo.. Labda wacheze nje ya uwanjaniuzie mkeka 😜
🤣👍Hiyo biashara sijui maana hata wachezaji na makocha hawajui matokeo.. Labda wacheze nje ya uwanja
Kabisa mkuuWangekuwa na uhakika wasingekuuzia, wangeweka wenyewe na ndugu zao!
Naam anasema anauza mikeka ya uhakika na kuna wadau wamejenga kwa mikeka yake.Huyu Salama alikuwa mchambuzi pale AZAM TV, kumbe kageukia huku kwenye mikeka na kuisifia YANGA...
Boss linabeti, nimebeti nikala bandari zenu zote.Nkajua Boss la DP World linanunua mikeka ya kuswalia....kumbe