Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
13Wakamaria wenzangu nawasalimia sana.
Naomba kuuliza, hii jackpot ya betpawa mechi 17 huwa wanatowa bonus ukipatia kuanzia mechi ngapi ??
Asante sana mkamaria mwenzangu ✅
huwa sichukui mikeka ya watu mkuuMhindi ndio anataka watu kama nyie haya nenda kamfate game ijayo akisema tena inaonesha umeingia Jana kwenye hii tasnia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi siku flex huu mkeka ila naombea hiyo ya mwisho itoboe kesho nikapate supu.Kazi kwisha nili flex mara 1 ila bado hata sijakosa mechi hata moja na imebaki mechi moja to hapo chini
Mkuu tunataka madini kama hayo. Siyo mtu anaweka code wengine huweka kwa mihemko na mapenzi.Wakuu nimejaribu kufuatilia the best option msimu huu ni hizi hapa
Corners over 5.5
Saves over 3.5
Yellow cards over 2.5
Hizi option zinatoa aisee jaribu kisha mlete mrejesho
NB Inapendeza sana kama mkeka ukisuka walao masaa 6-8 kabla ya game kuanza kwani kuna kuwa na odd kubwa kidogo, game zikianza tu wanaanza na makadirio ya juu
Wakuu nimejaribu kufuatilia the best option msimu huu ni hizi hapa
Corners over 5.5
Saves over 3.5
Yellow cards over 2.5
Hizi option zinatoa aisee jaribu kisha mlete mrejesho
NB Inapendeza sana kama mkeka ukisuka walao masaa 6-8 kabla ya game kuanza kwani kuna kuwa na odd kubwa kidogo, game zikianza tu wanaanza na makadirio ya juu
Mkuu tunataka madini kama hayo. Siyo mtu anaweka code wengine huweka kwa mihemko na mapenzi.
Kwa upande wa yellow card msimu huu naona ziko zaidi EPL
SureLeo watu wamepiga pesa sana
mkuu tunasubiri mkeka wa saa tatu na nusuView attachment 3096856
Cashout hiyo imenona. Unaweza ku Cashout kama una wasiwasi juu ya Inter milan kushinda.
Game ya spurs v arsenal yellow card over 1.5 first half zilikuwa na odds 1.6+. Wakati nabeti akafika mgeni nikashondwa kuendelea. Matokeo yake zimetoka card 5 first half hiyo tu.Mkuu tunataka madini kama hayo. Siyo mtu anaweka code wengine huweka kwa mihemko na mapenzi.
Kwa upande wa yellow card msimu huu naona ziko zaidi EPL