Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG-20240924-WA0043.jpg

😂😂 Ndo hivo sasa
 
Yan ligi ya Italia kama ya mchongo fulan hivi. Yan Atalanta kamkazia Arsenal halafu anafungwa na timu iliyopanda daraja sijui
 
YOUNG AFRICANS vs KEN GOLD

Wadau hii Mechi odds zipo vizuri ila kesho zitaporomoshwa mnooo na options kupunguzwa

Naandaa mkeka wa Usiku huu huu Ili Kesho isinipe wakati mhhh
Hii mechi Young Africans anamtafuta Simba ktk idadi ya magoli,so ipo on fire

Narudi na mikeka 6,kesho kutam wandugu

Ila ATALANTA, maninaaa,na Inter Milan wake🤣🤣🤣
Italy Maboss wa Team wanalipwa billions of money kupanga,Boss wa Juventus kama sikosei aliwahi kunaswa
 
Back
Top Bottom